WCB walipwa bilioni 2 na Universal music, TRA walamba mil 35

WCB walipwa bilioni 2 na Universal music, TRA walamba mil 35

Mimi sio mshabiki wa music lkn hapo kwenye kodi nampa heko,kulipa kodi ni uzalendo wa hali ya juu
 
18% * 2,200,000,000 = 396,000,000 tsh. Jamaa kasema kalipa 35,000,000 ambayo ni sawa na
35,000,000/2,200,000,000 * 100 = 1.59%

Sasa mbona ushuru kalipa asilimia 1.59 tu ? Au ushuru ni asilimia ngapi kwani?

Msinirushie mawe hata sijabisha, nataka kufahamu tu
 
Badala ya majibu subiria kuitwa hater.
Hapa tuu ndipo napozichukia hizi timu maandazi.
 
Swala la kodi halikwepeki, siku ukiingia kwenye reli ya TRA huna ujanja lazima ulipe. Kuna siku niliingiza guitar jipya kutoka Sweden nikapigiwa mahesabu nikaambiwa nililipie laki nne mi mwenyewe nilichoka.
Duuuuu..guitar???
 
Yale yale
Mwenzao alisign na sony wakamdhihaki leo wao wameangukia kule kule
Usipotoshe hapa diamond na WCB hawajasainiwa na Universal Music bali wameingia partnership tu, tena ni ya kusambaza music wao world wide.
Albam ya diamond(international albam) itakayotoka hivi karibuni itasambazwa na universal music
 
Anayebisha agonge tra kama hajatulia n.a. shati alilovaa sasa hivi wakikiotea utalipa tu
 
Back
Top Bottom