WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

Mzee huwa namshangaa msanii anayeidharau nguvu ya media. Msanii bila media utahangaika saana.

Angalia wote wanaogombana na media harakati zao hufubaa.
 
Nikikwambia sikumbuki tarehe, jina, mwaka, wala sina link ya hiyo interview, kwa sababu imekuwa miaka kadhaa, na nimetafuta online siioni, utathibitishaje kwamba mimi ni muongo na si kweli kwamba niliona hiyo video?

Wewe unapoangalia kila video ya Youtube unaiandika link kwenye diary ili siku moja ukiulizwa utaje tarehe, utoe link, na kusema mtangazaji alikuwa nani?

What kind of stupid inquiry is this?

Unaweza ku prove kwamba nadanganya?

Unaweza kuniwekea uthibitisho kwamba nadanganya hapa?

Wewe unajua kwamba ni mpumbavu unayeandika vitu bila hata kufanya Google search?

Kwa sababu umesema hakuna link yoyote kati ya Guru na 50, na hakuna kitu ninachojua kuhusu Guru ambacho wewe hujui.

Apparently hata hii track huijui.

 
Hivi mtu anahela na pia unataka umtawale haiwezekani ni kweli clouds ndio walivyo sasa haiwezekani kuwatawala watu kama ni program zenu za redio na tv mtu ana maisha yake na program zake itafikia siku hamna tena interview za wanamuziki kila kona za redio na tv kama mkiwawatala maisha yenu au yake.
 
Mimi nina uthibitisho kwamba wewe ni muongo.

Umesema hakuna ninachojua kuhusu Guru ambacho wewe hujui.

Umesema hakuna link kati ya Guru na Fifty.

Umeongopa, Guru na Fifty wana track hii, ambayo hukuijua.

Nimethibitisha wewe ni muongo, wewe hujathibitisha kwamba mimi ni muongo.

 


Bwana Alwatan

Hujui tarehe,hujui mwaka,humjui interviewer wala hujui ni media gani,sasa wewe ni mwana hiphop kweli?

Kama hayo yote huyajui,ni kidhibitisho tosha kabisa hili tukio halijawahi tokea umelitunga tu.

Hivi unaelewa all hiphop materials from the begining in 1970's mpaka leo hii yapo preserved tena online na tena kwa mtu muhimu kama Guru [Keith Ed Elam]?Wewe leo hii kutoka huku mavumbini una claim kulikua na interview ya godfather of hiphop Guru imefutwa?Hivi unaelewa anything posted online can never be deleted forever?

Hoja yako ya link kupotea ni ya kipumbavu mno,na mtu yeyote mwenye akili akikusikia unasema haya atakuona wa ajabu sana!

Hivi unajua Guru's all of his contents,music,interviews,shows,movie cameos,studio sessions,etc zipo online?

Jitu zima kua ongo namna hii ni aibu sana!
 

Acha utoto!

Hii studio blend na imejengwa baada ya marehemu kufariki long time.

Marehemu hajawahi kua na studio sessions na 50Cent,hajawai toa kazi yoyote na 50,wala hajawahi kua na beef yoyote na 50 na wala hajawahi toa interview yoyote kuhusu yeye na 50Cent.

Unaleta kazi ambazo ni studio made baada ya Guru passing!It is shame!

Guru Post-passing featurings zipo nyingi hadi na Elvis Presley,na hizi zinajengwa ku-extend materials ya mwanamuziki baada ya kufa!

Acha kujiaibisha zaidi mkuu.

Ni bora uache tu maana waelewa wakiona huu ujinga unajifanya ndio utetezi watazidi kukudharau sana!Be a man and move on!
 
Umekubali kwamba hujui yote kuhusu Guru na kuna mengine nimejua ambayo wewe hujui?

Utasemaje interviews zote za Guru zipo online? Interview za Guru zilianzia mwaka gani?
 
Hahaaa, unabadilisha maneno sasa.

Ulianza kusema hakuna connection yoyote, sasa unabadili kusema hakuwa na studio session.

Nina hakika gani nikileta hiyo link ya video hutasema haipo katika quality ya 4k hapa?

Get the fvck outta here.
 
Umekubali kwamba hujui yote kuhusu Guru na kuna mengine nimejua ambayo wewe hujui?

Utasemaje interviews zote za Guru zipo online? Interview za Guru zilianzia mwaka gani?


Duh

Huu upumbavu sasa!

Yaani unatuletea Guru's studio's post-passing featuring kama udhibitisho walifanya kazi pamoja?Hivi mzima wewe kweli?

Halafu swali gani hilo la kijinga namna hiyo?Interview zilianza mwaka gani?Una mark scheme ya kunisahihisha wewe?Au unajichanikia tu?

Tuanomba utoe ile post ya uongo,kua mstaarabu,toa tu ubakishe hiyo heshima kidogo iliyobaki.Usiharibu zaidi.
 
Hahaaa, unabadilisha maneno sasa.

Ulianza kusema hakuna connection yoyote, sasa unabadili kusema hakuwa na studio session.

Nina hakika gani nikileta hiyo link ya video hutasema haipo katika quality ya 4k hapa?

Get the fvck outta here.


Mzee

Lini utakua na kuacha matusi?

Nilidhani walao una ounce ya uelewa wa hiphop,ila nimejihakikishia huijui!

Ni kama marehemu Bob Marley kafanya featuring na Lost Boyz kwenye wimbo wa Guiltness.Wewe kwa akili yako unaona marehemu Bob Marley alikua na mahusiano na connection ya kikazi na Lost Boyz?Really?

Hujui lolote!

Mkuu,dhibitisha,weka link ya hiyo interview!Tunasubiri
 
Hahaha,

Umesema interviews zote za Guru zipo online, wewe ndiye mwenye marking scheme, umetaja mpaka ujuzi wa 100%.

Ili ujue zote zipo online hakuna zilizo miss, inabidi ujue angalau mwaka alioanza kufanya interview.

Nimekuuliza, interviews zake zimeanza mwaka gani?

Hujajibu, unakimbia swali.

Kwa sababu wewe ni mpumbavu, unatoa kauli za kipumbavu.

Utasemaje interview zote za msanii zipo online?

Wewe ni mkewe?
 
Umesema hakuna connection yoyote kati ya Guru na Fifty, umedanganya.

Uthibitisho nimeweka hapa.

Umeniita muongo, hujaweka uthibitisho wowote kwamba mimi ni muongo.

Umesema interviews zote za Guru ziko online.

Nimekuuliza kaanza kufanya interviews mwaka gani?

Umeshindwa kujibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Alwatan

Kama mimi nina marking scheme,wewe una capacity gani ya kuniuliza swali?Dhumuni ya swali ni kupima uelewa wa muulizwaji iwapo muulizaji ana jawabu tayari,kama hana,hilo si swali,hilo ni ombi la kutaka aelimishwe!

Huna uwezo wa kuniuliza swali,hujui chochote,hutaweza kupima uelewa wangu kuhusu hilo jambo!

Mimi ni mpumbavu,kama wewe ulivyo mpumbavu,nyani haoni kundule!

Content za Guru zipo online,hiyo ambayo wewe unadai ilikuwepo uliyoiona mwenyewe halafu ghafla ikapotea basi itakua sio interview ya Guru,itakua uliona interview ya Jah Rule akizungumzia beef yake maarufu kabisa na 50Cent,kwavile hujui vizuri uka-confuse na marehemu Guru!

Sio vibaya ukikosea,na ni uanaume zaidi uki-admit shortcomings then ukaendelea!

Bado hujakamilisha ushahidi wa hiyo inteeview mkuu!Tunaiomba!
 

Sasa kama huangalii hizo TV zingine imejuaje hawapigi nyimbo za wasafi? Minaangalia tve kila siku mbona wanacheza hizo video za lina domo ?

Kuhusu eatv wana haki maana Diamond anawadharau sana yeye kila jambo anazindulia clouds sasa iweje wao wamnyenyekee? Diamond atapita eatv ataiacha palepale
 

Hakuna connection ya marehemu Guru na 50Cent.

Hajawahi kua na ukaribu wa aina yoyote aidha ki-beef,kikazi,kim-interview au chochote whatsoever na bwana 50Cent!

Ulichofanya cha ajabu ni kuweka a post-passing studio made featuring track na 50Cent ambayo haina meaning yoyote.Yale ni maelewano ya Guru's Estate na 50Cent,na sio marehemu Guru.Guru alikua ashakufa miaka mingi iliyopita.Itoe kwenye list kabisa.

Hilo swali ulilouliza linataka kugeuza mjadala tuanze kufuata maswali yako ya kiduwanzi.Kilichopo hapa ni wewe utuwekee hiyo interview ambayo cha ajabu duniani hapa uliiona wewe tu halafu ikatolewa online!

Tuwekee hapa.
 

Wewe unabishana kuhusu 50 Cent wakati haka ku spell jina lake tu hujui.

It's 50 Cent, not 50 Cents.

Halafu unajifaragua unajua Hip Hop!

Hakuna connection wakati familia ya Guru inapata royalties za wimbo wa guru na Fifty?

Umeshindwa kunipa jibu interview za Guru zinaanzia mwaka gani.

Unasema hakuna interview ya Guru ambayo haipo online, kama wewe mkewe vile.

Wakati hujui hata mwaka alipoanza kufanya interview ni mwaka gani.
 

Mzee

Yaani umekosa kabisa majibu mpaka umeamua kuhamia kwenye Guru's estates?Mali za marehemu!Yaani wewe jamaa ni mweupe sana!

Hoja ya swali tushaimaliza.Huna marking Scheme ya kunisahihisha jibu langu,hivyo swali lako halina maana.Ungesema naomba nielimishe Guru alianza kutoa interview kama aspiring hiphop artist mwaka gani,ningekuelimisha.Ila unakuja na swali kwa arrogance na uka-admit kabisa huna marking scheme.Thats dead issue!

Hiphop fan wa Guru nina liberty kabisa ya kujua his artistic activities including interviews zake,hiyo sio kazi ya mkewe!Mimi kujua interviews zake eti ndio nimekua mkewe,hivi wewe unatumia ubongo kweli?

Conclusion kwamba sijui mwaka alioanza interviews umeipatia wapi?Umegeuka mganga wa kienyeji?Pamoja na hayo,hilo si swala hapa.Swala hapa ni wewe kutupatia hiyo interview!
 
First off get the names right.

It's 50 Cent, not 50 Cents
 
First off get the names right.

It's 50 Cent, not 50 Cents.


Hahahaaa

Alwatan,yaani umeelemewa kiasi hicho mpaka umeamua kua mwalimu wa English?

Hebu tupatie hiyo mysterous interview ya marehemu Keith Elam akielezea beef yake na bwana Curtis Jackson aka "50 Cent".Nadhani nimepatia "50 Cent"!

Waiting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…