WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

Kuna mtu kaharibu mtiririko mzima wa thread kwa kusema nimedanganya hiyo video haipo, anazijua video zote za interviews zote za Guru.

Bitchniggas wana tabu sana.


Huna hiyo interview,ni fabrications...Haijawahi kuwepo.

Unatunga tu.Ni hali mbaya sana mpaka unasema uongo kuhusu marehemu aliekufa karibia 10years ago!Shame on you!
 
Kuna mtu kaharibu mtiririko mzima wa thread kwa kusema nimedanganya hiyo video haipo, anazijua video zote za interviews zote za Guru.

Bitchniggas wana tabu sana.
Sina uhakika sana ila nakubali GURU was one of the realest nigga out there.
So kama unasema alisema vile naamini b'cuz he always kept it real till his death.
 
Sina uhakika sana ila nakubali GURU was one of the realest nigga out there.
So kama unasema alisema vile naamini b'cuz he always kept it real till his death.
Yani mtu uanze kudanganya kuhusu video kwa faida gani?

Watu waongowaongo huwa wanakuwa na tabia ya kuona kila mtu muongo kama wao, hata pasipo na sababu.

Huyu naye inawezekana muongomuongo, anaona kila mtu muongo.

Halafu ana tabia ya kujikuza aonekane hakuna mtu atakayejua interview ya Guru ambayo yeye haijui.

Hata ukiwa fan mzuri namna gani, huwezi kuwa umeona videos za interviews zote za Guru zilizowekwa mtandaoni, na nyingine zishaondolewa, miaka yote .

Jamaa anataka kutuaminisha anajua interviews zote.

Hilarious.
 


Wewe nani kakwambia interview zimeondolewa mtandaoni?Nipe link inayosema hiyo sentensi "kuna interview za Guru zimetolewa mtandaoni"...Huna!

Ni hisia zako za kutafuta wa kukutetea!Hawezi kukutea,kwa hoja ipi hasa?Ni ngumu kutetea mtu alietoa UONGO!
 
Haaaah WEW JAMAA UNAMSHIKA MTU PABAYA SANAA
 
Gang starr guru huyu jamaa nyimbo zake ni conscious sana kama moment of truth
 
I just like your comments!!
Be blessed!!
Humility can be overrated.

Winston Churchill once said those who are humble have much to be humble about.

I am not sure you are not too humble to be humbled by that.

Just providing the dissenting contrarian view.

By the way humility can be PR. A form of "fake modesty".

Hata 2Pac, of all people, ali play that humility card. Strategically.

Ali mention trying to be humble in a suspect way in one interview.

Which I can't guarantee to post a link here.

Aje mtu aseme ameona interviews zote za 2Pac na hii haipo.
 
Gang starr guru huyu jamaa nyimbo zake ni conscious sana kama moment of truth
One of the best MCs to ever touch the mic.

Nakumbuka kuangalia "Positivity" Yo! MTV Raps back in 1989.

Nilipoona ile video nikawa namfuatilia ever since.
 
Mziki wenyewe kiujumla naona kwa sasa umepoa sana show hawapati wasanii vidili dili vya kwend sauth vimepungua
South ilikuwa dili la sembe na sasa sembe ni noma wanakudaba fasta..
Hata jamaa zako wanachoma kama ukifanukiwa kuwakwepa njagu.
 
Gang starr guru huyu jamaa nyimbo zake ni conscious sana kama moment of truth
Mimi mwenyewe KIBAO chake hiki nakikubali sana.

Huwa kinaniingia sana.

Unajua kwanini?

KIBAO hiki kinakupa MOYO wa kutokata tamaa, kwa jambo ZITO lolote litakalokukuta.

Ukichukulia Mifano ya MAZITO yaliyowakuta wenzio, hata kama kulikuwa na maamuzi ya ajabu unataka kuyafanya, lazima urudi Matawi ya chini
 
Moment of truth ina maneno MAZITO sana
 
Sometimes you gotta Dig deep...

When PROBLEMS come near...

Don't fear things get severe for everybody everywhere...

Why do bad things happen to Good PEOPLE?...

Seems that LIFE is just a constant WAR between GOOD and EVIL...
 
Wanasema pata hela tukujue tabia yako Heshima inaanzia nyumbani ukianzia mama yake kutwa vijembe anatukana watu insta uhuni vibenten yote yake dada yake nae bendera fataupepo wanajiona kama watoto wa bakhresa vile, domo skendo za hovyo hovyo kuto muheshimu mke wake umalaya uliokithiri kuchezea mabinti hata under 18 ngono inanuka kwanzia kwao mpaka ofice nzima, kiki za kipumbavu kila uchwao tume wachoka domo umalaya umepiku kazi zake sasa hivi mpaka ma dancer wanavimba sijui wanajiona kina nani haswa, ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka wakwendeee[emoji57]
 
Magufuli inabidi aanze kusoma hiko kitabu kabla ya wcb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…