WCB ya Diamond,kilefu na maana yake

Tujaribu kuwasupport wasanii wetu kwa njia yoyote ile.leo wangepost issue yoyote kuhusu msanii wa eurp no one would comment .
 
Jaribu kutofautisha Dimond na boss wako.uwepo wa dimond ni mchango mkubwa sana kwa taifa letu.but u cant see if u have never been outside of Tanzania.
 
unasema kwamba ilichaguliwa BABY ili kuhusisha jinsia zote....
Kuku kweli wewe.. Wewe kama ni baby wa diamond ni wewe tu..
Usitukane watu hapa.

Hahhahahaaa.........mkuu unamaliza mbavu zangu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wasafi Classic Baby mbona haileti maana?!?

Ulitegemea ilete maana kwa mtu ambaye kuandika tu kunampa shida?! Hapo juu jamaa anasema eti waliweka ''baby'' ili kuwakilisha jinsia zote...Hivi katika akili timamu neno ''baby'' linawakilisha jinsia zote?! Anyway shida ya kukimbia shule halafu wanakimbilia english course za wiki mbili.
 


Pole kwa kuona WCB kuwa ni neno, nikueleze tu WCB sio neno. Halafu kwenye kiswahili tuna ''kirefu'' na sio ''kilefu''.

Ujinga mwingine ni huu mtiririko wako wa hiyo WCB - Mkurugenzi - Dancers- Wabunifu wa mavazi- Walinzi- e.t.c hiyo ndio kampuni pekee yenye Mkurugenzi lakini haina mtu wa masuala ya fedha.

Unaposema hao ndio ma-dancers wanaolipwa zaidi umelinganisha na nani, kwa rekodi zipi?
 
mbona big brother kuna wasichana,
 

15mil sasa nyie panya wake mnapata nini,manaake hapo bado hajahonga etc.
 
Mshaur amtafute mweka hazina na counsellor,awe ana mshaur kdogo,so unachekelea kula cash yake 2...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…