baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Tujaribu kuwasupport wasanii wetu kwa njia yoyote ile.leo wangepost issue yoyote kuhusu msanii wa eurp no one would comment .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kutofautisha Dimond na boss wako.uwepo wa dimond ni mchango mkubwa sana kwa taifa letu.but u cant see if u have never been outside of Tanzania.
unasema kwamba ilichaguliwa BABY ili kuhusisha jinsia zote....
Kuku kweli wewe.. Wewe kama ni baby wa diamond ni wewe tu..
Usitukane watu hapa.
Wasafi Classic Baby mbona haileti maana?!?
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.
kwanza ifahamike WASAFI.
siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa analitamka tu .
WCB(WASAFI) ni brand name ya kampuni ya Diamond.
ambayo ndani yake inahusisha watu tofaut tofaut wanaosaidia/msaidia kaz zake za mziki.
kuna Yeye mwnyewe kama mkurugenzi.
kuna dancers.kuna wabunifu wake rasmi wa mavazi unayoyaona amevaa stejin na sehem zingne.na kwa kila onyesho linalokuwa lina mkabili.
hujadiliana na wabunifu wake ..ni nguo ya aina gan ibuniwe.
pia kuna mtu wa karibu anaehakikisha swala la usalama hususana awapo kwenye kind kubwa la watu.
kuna waandish wa nyimbo.
ana nwanamziki wake ambaye bado hajaamua kumtambulisha rasmi(na akimwachia rasmi,watu watatafutana)
kuna watu wa I.T
kuna watu wanaohusika na uandaaje na uwekaj kumbukumbu za matukio yote ya maisha ya diamond.nazungumzia showz zake.na mizunguko yake na matukio mengne mhim kuna watu wanaorekodi video na picha.popote unapomwona jua nyuma yake kuna wapiga picha wa video na still pics.kuna Dj wake na
kuna graphics designer.mamodo na waigizaj pia.
Hiyo ndio WCB.
ambayo kilefu chake ni WASAFI CLASSIC BABY.
ilichaguliwa baby ili kuhusisha jinsia zote.
weng wakisema b iwe badala ya Boys or brother .hapo wadada wangekua .
wamebaguliwa.na hao wafanya kaz wote hao ni vigum kuwashawish kuhamia kaz nyingine.mfano ukiacha wafnyakaz wengne.. dancers pekee.kwa Tz hakuna dancers wanaolipwa pesa nying kama wale.na hakuna mwanamzik anaeweza kumudu malipo yao.
They hatin eer day...we earning eer day
mbona big brother kuna wasichana,Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.

Nitake radhi kwanza kwa kunitusi.
na kwa faida yako nikujuze tu kuwa.
kwa show za nje pekee.
Bila million 15 hujamchukua na hakunaga nipunguzie..na maombi anapata kila uchwao.
ni yeye tu huchagua aende wap
so ingekuwa show zake hazilip..yani mtu anatoa mamilion yake na anaambulia hasara,
show zingekua zishakatika.
lakin kila cku nje wanamtfuta na dau lake hupanda kila baada ya mda kama bei ya mafuta.
wabish kaz kwenu.
Hatow kunywa sumu dudeToa uchafu wako hapa ww