Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Kwanza maziwa yetu haiji Tanzania , Colgate lazima utatumia, Dettol, lifebuoy etc lazima utatumia maana makonda kasema hakuna mtu kukanyaga mjini kama hujaoga na kupiga mswaki.gasi yenu tutaifungia na hata mazao yenu yasije Kenya na ombaomba wote tutawarejesha.Basi na ninyi msahau kuuza maziwa na Colgate zenu, mnadhani hatuna viwanda vya maziwa?. Kumbuka kwamba pakitokea vita ya biashara, always you are the one who suffer most, jaribuni kukataa unga wetu muone kitakachotokea, Hukumbuki issue ya Jaguar ilivyomlazimisha Uhuru kwenda Chato bila kupenda?. Tanzania is the one which decides, not You.
Peleka upumbavu Kenya hamna soko huria bali carteling! Uliza Mkenya atakwambia bei ya unga iko juu na angependa ushindani. Ila carteling ya millers ndo inazuia ushindani!Hata sikumaliza kusoma post yako, kwa sababu hujanielewa kabisa ninasema nini, rudi soma vizuri nilichoandika!!.
Au ni hivi; mimi sipingi kuongeza thamani ya mazao, ninachopinga ni kuwalazimisha wateja kununua wasichohitaji, mfano, mtu anahitaji mahindi wewe unamwambia siuzi mahindi nauza unga wa mahindi!!!π€.
Sasa katika soko huria unatakiwa uwe na bidhaa zote, yaani uwe na mahindi pia uwe na unga wa mahindi (value added product) hapo mteja anakuwa na uhuru wa kununua anachotaka na siyo kumuwekea masharti yanayoweza kukuathiri wewe (nchi) na wakulima pia kwasababu sio wewe pekee unayezalisha mahindi duniani.
Mimi sipingi aslan value addition ya bidhaa ninachopinga ni kulazimisha wateja kununua bidhaa kwa "Masharti".na hiyo ni biashara kichaa ya kutaka kuona mahindi yakiwaozea wakulima kama korosho zinavyowaozea .
The good thing is Zimbabwe, Malawi n Zambia have all expressed willingness to buy our grain stocks so we can dictate terms with Kenya n if objected afford to ignore that market.
Kitu ambacho ungesema ni kwamba msage unga wenu na ubora unaohitajika na mfanye export jinsi makampuni yetu yafanyavyo then consumers wetu watanunua Kwa shelves za supermarket zetu kulingana na ubora na bei halafu na mbinu utakayotumia kufanya packaging matters a lot,as for me natumia well established brands , and my favourite ni pembe , hostess and jogoo hata mkileta huo unga wenu Kwa meza yangu hautawekwa.Good move as u make it hard for our processed merchandise find its ways in ur shelves! I admire this man Magufuli! Though Uhuru's trip to Chato sought to soften the trade barriers, the realities on the ground r different.
This issue of refusing to let in superior quality n affordable flour from Tanzania reaching ur market will open up a can of worms of protectionism.
The good thing is Zimbabwe, Malawi n Zambia have all expressed willingness to buy our grain stocks so we can dictate terms with Kenya n if objected afford to ignore that market.
Great, look for a buyer of your unga because we will not buy unga from you.We will see! Probably from Mexico not from us! SADC r converging in Dar wait to see all grain stock being snatched out!
Of course when u have millers cartel want to mill what they haven't grown. Magufuli should not let that happen! If Kenya sells margarine n pasteurised milk in Tanzania we have every right to demand our repackaged flour from Azam, Azania n METL be allowed in Kenya! As simple as that! And also repackaged animal feeds!What a nasty, nasty, nasty narration !!.
An east african telling his fellow east African!!!?.
A trade whip Tz is going to cane Kenya!!, we are all brothers of East Africa but when it comes to "money", no brotherhood at all,
We know that as sanction for ur dairy products will not be lifted either! We will see between Uhuru n Magufuli who will buttlick another. I hear u r eyeing a UN seat to safeguard ur interests at ICC against Somalia on the current territorial water dispute. U better make ur decision wise!Great, look for a buyer of your unga because we will not buy unga from you.
I promise you 100%, you will buy our flour because we are the ones who always decide. Take my words if you dare to ban our flour to Kenya, nor single Kenyan manufactured good will cross to Tanzania, who will be affected most?, the answer is obvious.We will never buy your flour, mark my words.
Wewe ni mtoto mpumbavu usiyeelewa kinachoendelea! Uliza pros humu ndani wakueleze! Kenya is the last country to speak of free common market! Hujagundua kwann Uhuru alienda kulamba miguu ya JPM? Kaa kimya wakuonyeshe jinsi tutakavyowa-corner hawa wapuuzi!Don't "smoke" prior to a discussion.π€π€
Halafu wanataka support yetu on the UN rotational seat they r eyeing baada ya kumkataa Amina Mohammed AU! JPM is SADC chairman in waiting while SG is mwanamama toka Tanzania.I promise you 100%, you will buy our flour because we are the ones who always decide. Take my words if you dare to ban our flour to Kenya, nor single Kenyan manufactured good will cross to Tanzania, who will be affected most?, the answer is obvious.
Of course when u have millers cartel ingredients want to mill what they haven't grown. Magufuli should not let that happen! If Kenya sells margarine n pasteurised milk in Tanzania we have every right to demand our repackaged flour from Azam, Azania n METL be allowed in Kenya! As simple as that! And also repackaged animal feeds!
Umesoma kila kitu nilichoandika, tatizo unajifanya hamnazo tu. Hivi nikuulize swali, tukiruhusu kuuza mahindi kwa yeyote anayetaka, unadhani kuna nchi itakayoagiza unga?, kwasababu ukiagiza mahindi mahindi unapata kwa bei ya chini kuliko Unga, na hayo mahindi sio tu yatatengeneza ajira katika viwanda vyao, lakini pia yatapunguza ajira zetu na kupunguza upatikanaji wa Mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyetu.Hata sikumaliza kusoma post yako, kwa sababu hujanielewa kabisa ninasema nini, rudi soma vizuri nilichoandika!!.
Au ni hivi; mimi sipingi kuongeza thamani ya mazao, ninachopinga ni kuwalazimisha wateja kununua wasichohitaji, mfano, mtu anahitaji mahindi wewe unamwambia siuzi mahindi nauza unga wa mahindi!!![emoji848].
Sasa katika soko huria unatakiwa uwe na bidhaa zote, yaani uwe na mahindi pia uwe na unga wa mahindi (value added product) hapo mteja anakuwa na uhuru wa kununua anachotaka na siyo kumuwekea masharti yanayoweza kukuathiri wewe (nchi) na wakulima pia kwasababu sio wewe pekee unayezalisha mahindi duniani.
Mimi sipingi aslan value addition ya bidhaa ninachopinga ni kulazimisha wateja kununua bidhaa kwa "Masharti".na hiyo ni biashara kichaa ya kutaka kuona mahindi yakiwaozea wakulima kama korosho zinavyowaozea .
Wewe ni mtoto mpumbavu
Huyu mtoto ni mjinga anajiona anajua zaidi ya kila mtu humu ndani! Mwacheni JPM amfinye Uhuru atakavyo muda ni huu! He has every weapon at his disposal!Umesoma kila kitu nilichoandika, tatizo unajifanya hamnazo tu. Hivi nikuulize swali, tukiruhusu kuuza mahindi kwa yeyote anayetaka, unadhani kuna nchi itakayoagiza unga?, kwasababu ukiagiza mahindi mahindi unapata kwa bei ya chini kuliko Unga, na hayo mahindi sio tu yatatengeneza ajira katika viwanda vyao, lakini pia yatapunguza ajira zetu na kupunguza upatikanaji wa Mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyetu.
Kila nchi lazima iwe na Sera ya kulinda viwanda vyake, hivi unadhani kwanini wakenya hapa JF wanapinga kununua unga badala yake wanalazimisha mahindi?, lengo ni kutaka kuhakikisha viwanda vyao vinapata Mali ghafi ya kutosha.
Wewe una wasiwasi gani?, kama umemsikia vizuri huyo mkenya ktk hiyo clip anasema kwamba wamekuja kuwahi kwasababu nchi zote zilizotuzunguka Nina upungufu wa mahindi isipokua TZ, kwahiyo wakikataa unga, tutawauzia watakaokubaliana na terms zetu.
Hata Mimi ninashangazwa na uwezo wake wa kudadavua mambo, ila twende naye mdogo mdogo ataelewa tu.Huyu mtoto ni mjinga anajiona anajua zaidi ya kila mtu humu ndani! Mwacheni JPM amfinye Uhuru atakavyo muda ni huu! He has every weapon at his disposal!
Halafu December tunaanza kuruka kwenda London wakati Ghuangzhou na Bangkok before mid 2020! Tuone kama wata-ban tourvans JKIA!
So r u trying to claim ur unga is better than ours? Bakhresa, METL n Azania r selling flours in multiple countries around Africa what will make them fail meeting standards in Kenya that carcas finds it's way to ur shelves!Kitu ambacho ungesema ni kwamba msage unga wenu na ubora unaohitajika na mfanye export jinsi makampuni yetu yafanyavyo then consumers wetu watanunua Kwa shelves za supermarket zetu kulingana na ubora na bei halafu na mbinu utakayotumia kufanya packaging matters a lot,as for me natumia well established brands , and my favourite ni pembe , hostess and jogoo hata mkileta huo unga wenu Kwa meza yangu hautawekwa.
I promise you 100%, you will buy our flour because we are the ones who always decide. Take my words if you dare to ban our flour to Kenya, nor single Kenyan manufactured good will cross to Tanzania, who will be affected most?, the answer is obvious.
Njaa mliyonayo hamna jeuri hiyo. Msikilizeni katibu MKUU wenu wa KILIMO jinsi alivyo mnyonge anabembekeza chakula, sisi ndio tunaoamua nini tuwape, sio ninyi njaa njaa