We gonna no longer sell maize to Kenya! 😒😡

We gonna no longer sell maize to Kenya! 😒😡

Basi na ninyi msahau kuuza maziwa na Colgate zenu, mnadhani hatuna viwanda vya maziwa?. Kumbuka kwamba pakitokea vita ya biashara, always you are the one who suffer most, jaribuni kukataa unga wetu muone kitakachotokea, Hukumbuki issue ya Jaguar ilivyomlazimisha Uhuru kwenda Chato bila kupenda?. Tanzania is the one which decides, not You.
Kwanza maziwa yetu haiji Tanzania , Colgate lazima utatumia, Dettol, lifebuoy etc lazima utatumia maana makonda kasema hakuna mtu kukanyaga mjini kama hujaoga na kupiga mswaki.gasi yenu tutaifungia na hata mazao yenu yasije Kenya na ombaomba wote tutawarejesha.
 
Hata sikumaliza kusoma post yako, kwa sababu hujanielewa kabisa ninasema nini, rudi soma vizuri nilichoandika!!.

Au ni hivi; mimi sipingi kuongeza thamani ya mazao, ninachopinga ni kuwalazimisha wateja kununua wasichohitaji, mfano, mtu anahitaji mahindi wewe unamwambia siuzi mahindi nauza unga wa mahindi!!!🤔.

Sasa katika soko huria unatakiwa uwe na bidhaa zote, yaani uwe na mahindi pia uwe na unga wa mahindi (value added product) hapo mteja anakuwa na uhuru wa kununua anachotaka na siyo kumuwekea masharti yanayoweza kukuathiri wewe (nchi) na wakulima pia kwasababu sio wewe pekee unayezalisha mahindi duniani.

Mimi sipingi aslan value addition ya bidhaa ninachopinga ni kulazimisha wateja kununua bidhaa kwa "Masharti".na hiyo ni biashara kichaa ya kutaka kuona mahindi yakiwaozea wakulima kama korosho zinavyowaozea .
Peleka upumbavu Kenya hamna soko huria bali carteling! Uliza Mkenya atakwambia bei ya unga iko juu na angependa ushindani. Ila carteling ya millers ndo inazuia ushindani!

Bakhressa mwenye milling plants zaidi ya nchi kumi Africa including (SA) alinunua kiwanja Mombasa afungue milling plant, kilichomkuta Mungu anajua! Mgogoro wa kiwanja na vibali mpaka leo kashindwa kujenga na kufungua kiwanda! Cha ajabu kila mwaka hawa jamaa wana njaa!
 
The good thing is Zimbabwe, Malawi n Zambia have all expressed willingness to buy our grain stocks so we can dictate terms with Kenya n if objected afford to ignore that market.

What a nasty, nasty, nasty narration !!.
An east african telling his fellow east African!!!?.

A trade whip Tz is going to cane Kenya!!, we are all brothers of East Africa but when it comes to "money", no brotherhood at all,
 
Good move as u make it hard for our processed merchandise find its ways in ur shelves! I admire this man Magufuli! Though Uhuru's trip to Chato sought to soften the trade barriers, the realities on the ground r different.

This issue of refusing to let in superior quality n affordable flour from Tanzania reaching ur market will open up a can of worms of protectionism.

The good thing is Zimbabwe, Malawi n Zambia have all expressed willingness to buy our grain stocks so we can dictate terms with Kenya n if objected afford to ignore that market.
Kitu ambacho ungesema ni kwamba msage unga wenu na ubora unaohitajika na mfanye export jinsi makampuni yetu yafanyavyo then consumers wetu watanunua Kwa shelves za supermarket zetu kulingana na ubora na bei halafu na mbinu utakayotumia kufanya packaging matters a lot,as for me natumia well established brands , and my favourite ni pembe , hostess and jogoo hata mkileta huo unga wenu Kwa meza yangu hautawekwa.
 
What a nasty, nasty, nasty narration !!.
An east african telling his fellow east African!!!?.

A trade whip Tz is going to cane Kenya!!, we are all brothers of East Africa but when it comes to "money", no brotherhood at all,
Of course when u have millers cartel want to mill what they haven't grown. Magufuli should not let that happen! If Kenya sells margarine n pasteurised milk in Tanzania we have every right to demand our repackaged flour from Azam, Azania n METL be allowed in Kenya! As simple as that! And also repackaged animal feeds!
 
Great, look for a buyer of your unga because we will not buy unga from you.
We know that as sanction for ur dairy products will not be lifted either! We will see between Uhuru n Magufuli who will buttlick another. I hear u r eyeing a UN seat to safeguard ur interests at ICC against Somalia on the current territorial water dispute. U better make ur decision wise!
 
We will never buy your flour, mark my words.
I promise you 100%, you will buy our flour because we are the ones who always decide. Take my words if you dare to ban our flour to Kenya, nor single Kenyan manufactured good will cross to Tanzania, who will be affected most?, the answer is obvious.
 
Don't "smoke" prior to a discussion.🤔🤔
Wewe ni mtoto mpumbavu usiyeelewa kinachoendelea! Uliza pros humu ndani wakueleze! Kenya is the last country to speak of free common market! Hujagundua kwann Uhuru alienda kulamba miguu ya JPM? Kaa kimya wakuonyeshe jinsi tutakavyowa-corner hawa wapuuzi!
 
I promise you 100%, you will buy our flour because we are the ones who always decide. Take my words if you dare to ban our flour to Kenya, nor single Kenyan manufactured good will cross to Tanzania, who will be affected most?, the answer is obvious.
Halafu wanataka support yetu on the UN rotational seat they r eyeing baada ya kumkataa Amina Mohammed AU! JPM is SADC chairman in waiting while SG is mwanamama toka Tanzania.
 
Of course when u have millers cartel ingredients want to mill what they haven't grown. Magufuli should not let that happen! If Kenya sells margarine n pasteurised milk in Tanzania we have every right to demand our repackaged flour from Azam, Azania n METL be allowed in Kenya! As simple as that! And also repackaged animal feeds!

Let's wait and see the end of this saga.

Forcing a donkey to drink what it doesn't like!!--- is it the way to kill our farmers or the way to help them and our economy??!.🤔
 
Hata sikumaliza kusoma post yako, kwa sababu hujanielewa kabisa ninasema nini, rudi soma vizuri nilichoandika!!.

Au ni hivi; mimi sipingi kuongeza thamani ya mazao, ninachopinga ni kuwalazimisha wateja kununua wasichohitaji, mfano, mtu anahitaji mahindi wewe unamwambia siuzi mahindi nauza unga wa mahindi!!![emoji848].

Sasa katika soko huria unatakiwa uwe na bidhaa zote, yaani uwe na mahindi pia uwe na unga wa mahindi (value added product) hapo mteja anakuwa na uhuru wa kununua anachotaka na siyo kumuwekea masharti yanayoweza kukuathiri wewe (nchi) na wakulima pia kwasababu sio wewe pekee unayezalisha mahindi duniani.

Mimi sipingi aslan value addition ya bidhaa ninachopinga ni kulazimisha wateja kununua bidhaa kwa "Masharti".na hiyo ni biashara kichaa ya kutaka kuona mahindi yakiwaozea wakulima kama korosho zinavyowaozea .
Umesoma kila kitu nilichoandika, tatizo unajifanya hamnazo tu. Hivi nikuulize swali, tukiruhusu kuuza mahindi kwa yeyote anayetaka, unadhani kuna nchi itakayoagiza unga?, kwasababu ukiagiza mahindi mahindi unapata kwa bei ya chini kuliko Unga, na hayo mahindi sio tu yatatengeneza ajira katika viwanda vyao, lakini pia yatapunguza ajira zetu na kupunguza upatikanaji wa Mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyetu.

Kila nchi lazima iwe na Sera ya kulinda viwanda vyake, hivi unadhani kwanini wakenya hapa JF wanapinga kununua unga badala yake wanalazimisha mahindi?, lengo ni kutaka kuhakikisha viwanda vyao vinapata Mali ghafi ya kutosha.

Wewe una wasiwasi gani?, kama umemsikia vizuri huyo mkenya ktk hiyo clip anasema kwamba wamekuja kuwahi kwasababu nchi zote zilizotuzunguka Nina upungufu wa mahindi isipokua TZ, kwahiyo wakikataa unga, tutawauzia watakaokubaliana na terms zetu.
 
napenda sana kujadili kwa kina hii ishu ila lugha ilotumika sio rafiki kwangu basi nashindwa hata kumwaga pointi haya bhana uzi mtamu ila kwa wale ambao hawakukimbia umande
 
Umesoma kila kitu nilichoandika, tatizo unajifanya hamnazo tu. Hivi nikuulize swali, tukiruhusu kuuza mahindi kwa yeyote anayetaka, unadhani kuna nchi itakayoagiza unga?, kwasababu ukiagiza mahindi mahindi unapata kwa bei ya chini kuliko Unga, na hayo mahindi sio tu yatatengeneza ajira katika viwanda vyao, lakini pia yatapunguza ajira zetu na kupunguza upatikanaji wa Mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyetu.

Kila nchi lazima iwe na Sera ya kulinda viwanda vyake, hivi unadhani kwanini wakenya hapa JF wanapinga kununua unga badala yake wanalazimisha mahindi?, lengo ni kutaka kuhakikisha viwanda vyao vinapata Mali ghafi ya kutosha.

Wewe una wasiwasi gani?, kama umemsikia vizuri huyo mkenya ktk hiyo clip anasema kwamba wamekuja kuwahi kwasababu nchi zote zilizotuzunguka Nina upungufu wa mahindi isipokua TZ, kwahiyo wakikataa unga, tutawauzia watakaokubaliana na terms zetu.
Huyu mtoto ni mjinga anajiona anajua zaidi ya kila mtu humu ndani! Mwacheni JPM amfinye Uhuru atakavyo muda ni huu! He has every weapon at his disposal!

Halafu December tunaanza kuruka kwenda London wakati Ghuangzhou na Bangkok before mid 2020! Tuone kama wata-ban tourvans JKIA!
 
Hata Mimi ninashangazwa na uwezo wake wa kudadavua mambo, ila twende naye mdogo mdogo ataelewa tu.
 
Kitu ambacho ungesema ni kwamba msage unga wenu na ubora unaohitajika na mfanye export jinsi makampuni yetu yafanyavyo then consumers wetu watanunua Kwa shelves za supermarket zetu kulingana na ubora na bei halafu na mbinu utakayotumia kufanya packaging matters a lot,as for me natumia well established brands , and my favourite ni pembe , hostess and jogoo hata mkileta huo unga wenu Kwa meza yangu hautawekwa.
So r u trying to claim ur unga is better than ours? Bakhresa, METL n Azania r selling flours in multiple countries around Africa what will make them fail meeting standards in Kenya that carcas finds it's way to ur shelves!

Do u know why ur millers r developing cold feet on hearing Tanzania unga is to find ways to ur shelves? https://www.businessdailyafrica.com...ur-imports/3815530-5215238-12o1aqk/index.html
 
Azam flour was banned from reaching Kenyan market na hakuna kitu mlifanya.
I promise you 100%, you will buy our flour because we are the ones who always decide. Take my words if you dare to ban our flour to Kenya, nor single Kenyan manufactured good will cross to Tanzania, who will be affected most?, the answer is obvious.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!narudia tena..kanwe kenya haitonunua unga tanzania...mkibisha sana mexico iko
Njaa mliyonayo hamna jeuri hiyo. Msikilizeni katibu MKUU wenu wa KILIMO jinsi alivyo mnyonge anabembekeza chakula, sisi ndio tunaoamua nini tuwape, sio ninyi njaa njaa
 
Back
Top Bottom