We gonna no longer sell maize to Kenya! πŸ˜’πŸ˜‘

Unamaanisha wale waarabu na wahindi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Fact..hajui wakenya wana mashamba tanzania
Ata hizi vitunguu,machungwa hutoka tz ni rich Kenyans wamekomboa mashamba tz huleta back home,,,,hakuna kitu waTZ huleta Kenya...
Wengine wamekomboa hadi DRC
 
Naona ule mualiko wa jpm kw uhuru umewauma snaa watanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule ni akili kubwa bana...lazima amfunze mtoto wa juzi..unafikiria yule kaanza kukaa ikulu juzi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutolee story za vijiweni hapa..mkm umeshindwa kuleta mkataba...kaa kimya tu
Hamna akili ninyi ndio sababu mnakufa njaa kila mwaka, soma definition ya agreement kabwa hamjauliza. Msijaribu kubishana na akili kubwa.
 
This is none of our business
 
Hapo mmefeli, hii biashara itabuma kama lile dili la korosho. Millers wa Kenya wana uwezo wa kuimport mahindi kutoka nchi yeyote ile nyingine ambayo wanataka. Viwanda tayari vipo kwa wingi Kenya, na biashara ya maize milling nchini Kenya huwa inawaletea hela nyingi sana. Mbaya zaidi ni kwamba serikali ya Kenya inaendeleza sera ya kukuza viwanda vya Kenya. Alafu maize millers wa Kenya sio watu ambao hawajielewi, huwa wanaifikisha serikali mahakamani kila mara, bila uoga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!narudia tena..kanwe kenya haitonunua unga tanzania...mkibisha sana mexico iko


Hawa ni wajinga wakubwa, akili zao ni kama za "jiwe" kufanya mambo kwa jazba bila maarifa.

Jambo hilo lita "backfire" kama ile issue ya meli ya uvuvi ya wachina iliyokamatwa deep sea, kipi kilitokea??.

Because of irrational and emmotional decisions resulted into paying them a dear amount of money as compensation.

Maamuzi mengine yanahitaji busara kuliko jazba na ubabe.
 

But you are starving. You export while you have nothing to eat.
 
Heheeee!!!likija swala la delamere..ni mzungu,lkn wakitajwa hao wanaoushika uchumi wenu mnatokwa na povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
They r Tanzanians by birth n heritage. U speak As if Pembe flour milling is owned by Kenyans!
 
Acha ujinga wewe.... Tulia tuwauzie chakula
 
Kenya imeingia makubaliano na bodi ya nafaka Tanzania sio wakulima wa Tanzania, biashara inafanywa baada ya serikali kununua kwa wakulima na kuuza kwa Kenya so mwenye uamuzi wa mwisho kwamba bidhaa itoke kwa mfumo gani ni serikali na sio mkulima


Kaa kimya au uliza kitu kama hujui.
 
Unamaanisha wale waarabu na wahindi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Tanzania hainunui unga kwa muhindi wala muarabu.

Mfumo wa kupata unga wa mahindi Tanzania ni kwa kupitia njia kuu 3

1.Ni kupitia kwenye posho mills zinazomilikiwa na Watanzania wa kawaida kwenye points mbali mbali kama maduka ya kawaida ya bidhaa ambapo kunauzwa unga kwa kilo

2. Ni kupitia maduka ya kawaida ya reja reja huko mitaani ambapo wateja wanaenda kununua kwa Kupimiwa kuanzia robo kilo na kuendelea ambapo mwenye duka ndio kanunua kutoka kwenye posho mills au kaenda kununua mahindi yake mwenyewe na kusaga unga kwaajili ya biashara yake

3. Ni kupitia walaji wenye mahindi yao ndani (wawe wameyanunua au wakulima) wanaenda nayo kwenye machines za kusaga zilizopo maeneo mengi huko mitaani na kutoa pesa ya kusaga kuendena na kipimo na aina ya usagaji kisha kuondoka na unga.

Kwa hiyo biashara ya unga wa mahindi Tanzania haipo monopolised kama Kenya sababu ya hizo nilizozitaja
 


Wewe huna akili, kama serikali itashindwa kuuza hayo mahindi nje ni nani atakayeathirika zaidi??, serikali ndiyo inayolima mahindi??-- pull up your stockings.

Kama serikali itapata soko atakaye faidi ni pamoja na mkulima, akili fupi kama mkia wa mbuzi.
 
But you are starving. You export while you have nothing to eat.

Keep feeding on your own propaganda. You'll get tired.
Kenyans consume more food than Tanzanian. All kind of foods.
From meat to eggs to poultry. And FAO has all the data.
 

We have previously sourced maize from as far as Mexico and Brazil very cheaply.
Despite the thousands of miles journey, Tanzania can never compete with Brazil on price.
We only offered to buy from you as a good neighbor.

You can sell to whomever you want. Kenya does not care.
But if you're not going to sell us maize, don't think we'll buy your flour.

Flour we grind our own to keep prices low. Because that's what majority of Western Kenya eats.
 
Unga price has never been in low in Kenya even after u had all along milled! Reason being carteling supported by protectionism! If at all u r free market u should allow our flour find its ways to ur shelves n see the difference! U r a small boy ur top guys r already in Dar negotiating!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…