We kijana, nakupenda sana

We kijana, nakupenda sana

Ukichunguza Bata sana hautaila, yule alikuwa Mali....kumkosa ilikuwa ni kuchelewa kwangu.
Ukipata Mali unabaki unachunguza nini?
Sema Mungu alishakupangia upate kupitia humu kazi yako ikawa kukamilisha....msalimie sana
 
Kwa mwanamke yeyote, ukianzisha mashindano naye kwamba unampata halafu yeye anasema humpati, hutampata. Ila kama unashindana na shosti yake au jamaa yako, bila yeye kujua, MBONA UNANG'OA TU MZIGO..!!
hahahaha kumbe,, asante kwa kunipa code zenu
 
Hivi watu mnapata wapi nguvu ya mapenzi sijui kupendana na shida zote hizi jamani
 
Back
Top Bottom