We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

Ulikuwa unapigwa pumbu?
 
Nimekumbuka penzi lakoo tamu ulilonipaa

Duhh milele nitakuheshimuu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mwezi wa nne nataka tupashe kiporooo[emoji28][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa, basii kama ni hiivyo bora tu umtunuku hicho ulichojaaliwa na Maulana maana isijekua natokea ule mkoa ambao ukiwazingua wanajitia kitanzi

Kwa jinsi aliivolalamika kua hapati usingizi ajli yako basi atakua kashafika ile steji ya kukuona kwenye glass anapokunywa majiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…