We miss you JPM, where are you!!?

Na wewe Jenga yako ili uwe raisi kama kujenga Ni Sawa Na kujenga Banda la nyasi
 
Sahivi Sasa raha yako Ni IPi kuona Mali Za nchi zinapigwa mnada Na wewe upo unakenua ama kuona Bima imeondoa magonjwa muhimu ili watu wajifie ..Hasa unapata raha Gani? Ama labda kuona kwenda Morogoro yanakuwa masaa 6 kisa Barabara Za saa100???
 
Unahoja mkuu

Ingawa nazo hizi sector binafsi kwa Africa ndizo zinaongoza kwa kuihujumu serikali zisipotizamwa kwa umakini
 
Sahivi Sasa raha yako Ni IPi kuona Mali Za nchi zinapigwa mnada Na wewe upo unakenua ama kuona Bima imeondoa magonjwa muhimu ili watu wajifie ..Hasa unapata raha Gani?
Akikujibu basi huyo hatokuwa mccm
 
Na wewe Jenga yako ili uwe raisi kama kujenga Ni Sawa Na kujenga Banda la nyasi
Nijenge yangu nini? Nani kakwambia nataka kuwa raisi?

Mimi nimeanza kutembea corridors za Ikulu Magogoni tangu niko tumboni mwa mama yangu, sina hamu ya kuwa raisi.
 
Hadi nyumbu chama kimeuawa na rushwa wanamkumbuka JPM
 
Hili unamsingizia hakuna mahala alisema atakiwa rais wa milele, sema tu ninachofahamu hakuamini katika siasa, aliamini katika kuunga nguvu kwa pamoja na kufanya kazi, aliona kwa maono yake siasa ni scam, ndio maana alipoona wapinzani wakimpinga kununua ndege, kujenga reli au kufukuza wafanyakazi hewa, alihisi wanapinga maendeleo akawa anarara nao mbere kwa mbere kwa kuwahisi ni maadui... Ila kiuhalisia siasa hazitotufikisha popote... Nchi masikini kama hizi siasa ni kupoteza muda na kuchelewesha maendeleo...
 
"Na Mimi nataka niseme watanzania mtanikumbuka. Na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nime sacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Ilo la kutaka kujiongezea muda ndo lilimfanya afe

Hayo mengine yangevumiliwa Ila ilo ndilo lilimchukua
 
We also miss Ben Saanane & Azory Gwanda
 
Magufuli ni kipenzi Cha watanzania sababu ya uzalendo wake.Mama yeye anachojua ni kusafiri tu Kila siku lakini hakuna kazi hata Moja aliyoweza kujifanya ya maana
 
Miong

Miongoni mwa waliokufa kwa corona 🤣🤣🤣🤣🤣
 
huwa nikikumbuka hawa wapinzani uchwara walivopinga kwa nguvu kazi ile ilotukuka ya yule mwamba JPM,i wish ningesajiliwa kwenye kikosi cha death squad ningewapiga chuma mchana kweupe uso kwa uso huku nikizifurahia sauti za kilio chao cha mwisho ilaaniwe CHADEMA na uongozi wao wote.
 
Kila mtu anaamini kile anachoamini,kwangu binafsi sikuwahi kuvutiwa na uongozi wake hasa pale alipoamini ni yeye tu ndiye mzalendo, mwenye akili kuliko wengine n.k na ole wake atakayembishia au kumkosoa!
 
Wenye vinasaba vya kishetani utawajua tu!
 
Kama ww ukijilemba kuelekea kwa bwana wako
 
Sahivi Sasa raha yako Ni IPi kuona Mali Za nchi zinapigwa mnada Na wewe upo unakenua ama kuona Bima imeondoa magonjwa muhimu ili watu wajifie ..Hasa unapata raha Gani? Ama labda kuona kwenda Morogoro yanakuwa masaa 6 kisa Barabara Za saa100???
Mkuu kupigwa mnada mali za wananchi hata kipindi cha jiwe zilikuwa zinapigwa mnada.

Tena hakuna kipindi mali zetu zilipigwa mnada kama kipindi cha jiwe kwa kiburi chake cha kugoma kulipa madeni ya nyuma ambayo yeye alikuwa sehemu ya wasababishi.

Furaha yangu kwa sasa ni kuona sekta binafsi zinaanza kustawi baada ya kujifia, Yes Samia ana madhaifu yake mengi sana ila kwa kuzipa meno sekta binafsi zichipue nipo pamoja nae kwani zitatatua changamoto ya ajira kwa vijana wengi wa kitanzania.

Kuhusu bima ya afya hilo ni swala mtambuka, hata Obamacare ina changamoto zake.

Bila kusahau jiwe ndio aliua mifuko ya hifadhi ya jamii na mpaka leo wazee wetu wanateseka kwa kitendo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…