Hili unamsingizia hakuna mahala alisema atakiwa rais wa milele, sema tu ninachofahamu hakuamini katika siasa, aliamini katika kuunga nguvu kwa pamoja na kufanya kazi, aliona kwa maono yake siasa ni scam, ndio maana alipoona wapinzani wakimpinga kununua ndege, kujenga reli au kufukuza wafanyakazi hewa, alihisi wanapinga maendeleo akawa anarara nao mbere kwa mbere kwa kuwahisi ni maadui... Ila kiuhalisia siasa hazitotufikisha popote... Nchi masikini kama hizi siasa ni kupoteza muda na kuchelewesha maendeleo...