We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

Ubwege kweli huo yaani dume zima linatamaniwa hata kuovatake halijui , Huku kwetu hata kama upo kisogoni ukanitamani nitajua tu , then tunamalizana.
 
Ubwege kweli huo yaani dume zima linatamaniwa hata kuovatake halijui , Huku kwetu hata kama upo kisogoni ukanitamani nitajua tu , then tunamalizana.
 
Thread closed,... nshampata kaja tumeyajenga... kumbe nae kweli alikua mwanaJf.
nimeamini hisia hazidanganyi...
wale mliokuja kudanganya huko piiiemu... endeleeni kujaribu Lotto.
Hongera mamie.. Lol
 
Mi apa[emoji85]
 
Huyo uzuri wake ule kwa macho tu kwanza.

Watu kama hao ukijuana nao sana ghafla mara nyingine, kwa sababu ushajenga image Fulani ya ajabu kichwani, wanaenda kuku disappoint.
Mi kuna mmoja nilimuona sehemu aiseeee kuna wakaka wanavutia ,tishet kavaa imemkaa kama wiliam levy kwa mbali halaf maji ya kunde,mrefu lakin sio kama thabeet aisee nilitupa jicho maana kulikua hakuna namnaa na sijamuona mpka leo natamani nimuone tena nisafishe macho
 
Kumbe kwa mavazi yale umenizimikia ?lkn kila MTU aliniambia mzee umependeza mzee umependeza kumbe hataa wewe umeniona ?njoo inbox
 
yule hawezi kuwa wewe... hana ubandidu wa kimshana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji74] [emoji75] [emoji74] [emoji74] [emoji75]basi utakuwa unamfahamu vema
 
Wewe dada bila shaka utakua shamba la bibi hyo mkaka sjui atakua wa ngapi kukupiga
 
hata nguvu hiyo sikuwa nayo nilibaki tu namtolea macho, afu ana aibu fulani amazing.. ameifanya asubuhi yangu iwe ya baraka..
akija tu piiem ntampa kapicha
Wewe mwenyewe ni mzuri lakini?
 
uzuri wa mtu upo machoni pa mtizamaji.
 
[emoji15] [emoji1 [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji74] [emoji75] [emoji74] [emoji74] [emoji75]basi utakuwa unamfahamu vema
nimeanza kumfahamu jana tu.. yaani mambo ya makaburini na tahajudi hana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…