gidamulida
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 286
- 95
Huenda hayuko humu jarib na face book instagram or twitter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie wengine andike muliowahi kuwaona na mahali
Ha ha ha naogopa kupatwa comrade! Na ukuta[emoji85] !Naona umebadili avatar.
Kidogo nikusahau comrade
Wacha weeeKuna wanaume jamani ukimuona lazima ubaki na taswira yake kutwa nzima. Agggrrrrrr!!!
Hahahaaaa! We mtoto hebu lala.Wacha weee
Endelea tu kuvuta hiyo taswira, nilijua unavutaga tu taswira ya helaHahahaaaa! We mtoto hebu lala.
Mhhh nimeangua kicheko ...sasa niite kua love at first sight ama crush ama nini ...halaf unasema alikaa na mdada huyo atakua sio girl wake ama mke kabisa, sasa unataka picha yake uongee nae then what,
Ni kweli kabisa. Shida ya wanawake ni kudhani kuwa wanaume wenye sura za mama zao eti ndio handsome. Lkn kiukweli hao sio wanaume halisi wengi wao kazi hawaiwezi. Wanaume wazuri ni wale wenye maumbo ya kiume haswaa, wana msuri na sura ya kiume wala si ya kike!
Mara moja moja na taswira ya babako inanijiaEndelea tu kuvuta hiyo taswira, nilijua unavutaga tu taswira ya hela
Aah sawa, ngoja nione kesho nikipanda ganagana kama na mimi ntampata wa kumvutia taswiraMara moja moja na taswira ya babako inanijia
Hahahaaaa! Kwenye gana gana utakutana na wafuta vumbi wenzio.Aah sawa, ngoja nione kesho nikipanda ganagana kama na mimi ntampata wa kumvutia taswira
Teh sawa tu, cha msingi tu nivute taswiraHahahaaaa! Kwenye gana gana utakutana na wafuta vumbi wenzio.
[emoji40][emoji40] kwaher tehe tehe tehe.then what what?.... ukishaijua hiyo then what?
what will be then?....
Hahahaaa! Utavuta taswira ya ganagana tu.Teh sawa tu, cha msingi tu nivute taswira