We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

najua maumivu unayopitia
yaani acha kabisa umenikumbusha mbali kabisa kuna wakaka wazuri mjini hapa?
halafu wakaka watamu utabaki nao kwenye akili na ndoto tu
life is not fair at all

Kwel maisha hayajawah kua sawa, ila tunaish kwa alternative
 
Ungemwambia tu my dia kwanini ujitese kihivyo?Ila I hope atakuwa humu akusikie
 
Kwetu waliniambia atii; Penye miti hakunaga wajengaji. Dah! Yaan initokee kihivi, nadhani ningezimia. Dada naomba ni piemu tu hata ka utanikataa kwani lazima nipeleke kapicha ka jirani yangu kwani yangu itakuua bure kwa mshtuko.
 

Nipo humu bibie
 
najua maumivu unayopitia
yaani acha kabisa umenikumbusha mbali kabisa kuna wakaka wazuri mjini hapa?
halafu wakaka watamu utabaki nao kwenye akili na ndoto tu
life is not fair at all
Watam umewala et wanaradha gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…