Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
- Thread starter
- #81
wacha tu nilale.. kumsahau najaribu image yake bado ipo machoni pangu.Huyo uzuri wake ule kwa macho tu kwanza.
Watu kama hao ukijuana nao sana ghafla mara nyingine, kwa sababu ushajenga image Fulani ya ajabu kichwani, wanaenda kuku disappoint.