We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

nimeanza kumfahamu jana tu.. yaani mambo ya makaburini na tahajudi hana kabisa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] basi huyo kimeo [emoji85] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kaka kwenye mwendokasi
1472828368720.jpg
 
Duh....pole, moyo umedondokea kwenye mwendo kasi
Si ajabu haijui hata jamii forum, sijui utafanyaje sasa, kwa zama hizi ungevunja ukimya pale pale tu mamangu
Mi naomba niuvunjie tu kwako ram maana mmmh naomba uuruhusu tuuvunje public please
 
Ni mimi na yule niliyekua naye ni mke wangu! Tuacheeeee
 
Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...

Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.

Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.

Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..


Naku Piem asee kweli kabisa tulishuka Gerezani kuwa makini wengine watazamia trust only me...
 
Mie kuna wakati simuelewi Mungu, hivi kazi ya moyo ni kupenda ama kusukuma damu????
 
Back
Top Bottom