We mwanaume usikubali kufilisika kwa ajili ya mke na watoto (family) utakufa na kinyongo

We mwanaume usikubali kufilisika kwa ajili ya mke na watoto (family) utakufa na kinyongo

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye shule za ada ya juu au ufurahisha mke kwa kumpa 100k za saluni kila wiki au kumpeleka holidays kila wikend.

Jitahidi kua modorate katika bajeti zako kuna maisha itakao kua yako peke yako yanao kusubilia hamna atakae kuepo kwa ajiri yako, au watu sio marafiki wako wa kudumu.

Jitahidi almauti akukute usiwe frusrated man. Utujakata hiyo familia yako unaipenda mpaka unakopa benki au Vicoba kumudu na kilipa ada za English medium wana kupenda ila swali lina bakia kwamba for how long watakua na wewe?

Husband material wengi elites wamekufa mapema miaka 55 hadi 65yrs wakati sio wa kulima wameishi mjini kwa mtu wa mjini hicho ni kifo cha mapema, kwasababu wanawekeza sanaa kwa watu wanao kua na maisha yao badaye na wana staafu bila kitu hence frusrated men thus early death.
 
Inasikitisha sana, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
Lazima tubadilike kuendena na mabadiliko ya binaadamu wa kisasa, siku hizi wazee wanakufa peke yao vijijini wakati wana vijana wengi mijini, wanakuona we ni kero, utamsikia ana muambia wife, baba ana kunywa sana pombe tumuache akae bush tutamtumia matumizi huko huko, wakati yeye na cosmestic wife wake kila jiono wanaenda bar.
 
Nasema hivi.

Ukiona mwanaume analalamika kwamba ana sumbuliwa na ndoa ama mahusiano, basi tambua kwamba mwanamke wako anakuzidi uwezo wa kufikiria na ndio sababu hauwezi ukamuongoza.
Hivyo basi.

Huyo sio mwanamke sahihi kwako.

Kiasili mwanamke anapenda mwanaume aliemzidi uwezo wa kufukiri na mwanaume awe amekaza.
 
Nasema hivi.....
Ukiona mwanaume analalamika kwamba ana sumbuliwa na ndoa ama mahusiano, basi tambua kwamba mwanamke wako anakuzidi uwezo wa kufikiria na ndio sababu hauwezi ukamuongoza...
Ndoa ina mawili upate amani au ivujike kubembeleza ndoa ni kuaahilisha matatizo, ndani ya mwaka jitathimini kama huyu mwana mke unamueza au la never hesitate to devorce your wife ukigundua ni shida kwako.
 
Ndoa ina mawili upate amani au ivujike kubembeleza ndoa ni kuaahilisha matatizo, ndani ya mwaka jitathimini kama huyu mwana mke unamueza au la never hesitate to devorce your wife ukigundua ni shida kwako......
Ndoa ni kitu chema na baraka sana, lakini tatizo la watu wengi wanaogopa kuvunja ndoa baada ya kuingia na kugundua kwamba mwenza wake sio mtu sahihi kwake.

Mimi nasisitiza kwamba
Kijana usikubali ndoa ikwawe msalaba na mateso kwako, ukiona haujapata mtu sahihi nibora kuvunja ndoa.

Tatizo mnaogopa eti watu/ndugu/wazazi watasemaje bladi hell...🤨
 
Ukiona hivyo, ujue huyo hakupata mtu sahihi katika maisha yake.
Then alimpenda sana akidhani kuna siku atabadilika..[emoji1787]
Wa kishauriwa wana shupaza shingo wanaona kwamba wanaingiliwa katika haki yao ya msingi.......ila badaye yakiwakuta mpaka wanakataza vijana wasioe kabisa kwasbb wenyeq wameshindwa katika ndoa zao, kuoa ni haki yako ila kudumu na mke ni hiari.
 
Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye shule...

Ukweli mchungu.

% kubwa ya Wanawake wanapenda mashindano akiona shoga yake wanawe wanasoma EFEMU AKADEMIA na yeye hataki mwanae kumpeleka KAYUMBA hapo utakamuliwa hadi senti ya mwisho ili na yeye ampelek EFUMU AKADEMIA.
 
Tatizo masikini kila kukicha ni kutoa ushauri kwa wenye hela
Mbona wenye hela hawatupi ushauri sisi masikini ?
Masikini ni nani hapo unajua mtu akizungukwa na ukoo masikini hufikllia kila anae chart nae ni masikini kisa kazoea masikini,....hapa jf kuna watu wengi tofauti tofauti hata Mwingulu waziri wa hazina iko humu.
 
Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye ...
Nafarijika sana nikiona wanaume wanazidi kuzifungua code na kuona kuna mambo ambayo kwa muda mrefu yalionekana ndio ustaarabu wa kimaisha lakini kiuhalisia ni mambo ambayo yanawadidimiza na kuwaumiza sana wanaume.
 
Ndoa ni kitu chema na baraka sana, lakini tatizo la watu wengi wanaogopa kuvunja ndoa baada ya kuingia na kugundua kwamba mwenza wake sio mtu sahihi kwake.
Minasisitiza kwamba......
Kijana usikubali ndoa ikwawe msalaba na mateso kwako, ukiona haujapata mtu sahihi nibora kuvunja ndoa.
Tatizo mnaogopa eti watu/ndugu/wazazi watasemaje bladi hell...🤨
Sasa na shamrashamra zote zile za harusi, michango na mbwembwe za social media itakuwaje?
 
Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye shule za ada ya juu au ufurahisha mke kwa kumpa 100k za saluni kila wiki au kumpeleka holidays kila wikend.

Jitahidi kua modorate katika bajeti zako kuna maisha itakao kua yako peke yako yanao kusubilia hamna atakae kuepo kwa ajiri yako, au watu sio marafiki wako wa kudumu.

Jitahidi almauti akukute usiwe frusrated man. Utujakata hiyo familia yako unaipenda mpaka unakopa benki au Vicoba kumudu na kilipa ada za English medium wana kupenda ila swali lina bakia kwamba for how long watakua na wewe?

Husband material wengi elites wamekufa mapema miaka 55 hadi 65yrs wakati sio wa kulima wameishi mjini kwa mtu wa mjini hicho ni kifo cha mapema, kwasababu wanawekeza sanaa kwa watu wanao kua na maisha yao badaye na wana staafu bila kitu hence frusrated men thus early death.
Ndio maana kila siku nasemaga hapa acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Medium. Pelekeni watoto wenu Kayumba muwasimamie watatusua tu. Hiyo hela ya kupoteza huko wekeza, jenga majumba, furahia maisha yako. Hujaletwa duniani kusomesha .

Ulikuwaga unanipinga naona sasa umeanza kujipata.
Big up sana mkuu
 
Back
Top Bottom