Kama umeamua kutunza familia kwa hiari yako na unajua part yako huwezi kufikiria unalemewa na majukumu ata siku moja, Mwanaume ni provider, security, teacher, care giver, burden carrier na zaidi
Hivi tuta preach vp mwanaume kuwa superior then bitch about majukumu yako?? Ushaona Superman au Batman analalamika maadui wamemzidi wampumzishe kdogo? Mtu yeyote mashuhuri kwenye historia ni mtumishi yani anajitolea kwa faida ya wengine.
Kama huwezi kujitolea kwa ajili ya familia yako usioe acha ku preach ubinafsi hii ni feminism ya kiume sjui tuiitaje.