We mwanaume usikubali kufilisika kwa ajili ya mke na watoto (family) utakufa na kinyongo

Mimi nakubaliana na wewe 100% ila sio kumpeleka mtoto kusoma ST ksyumba kule ni mauuwaji ya kimbali tu hamna elimu kati ya wanafunzi 100 walio maliza darasa la saba kijijini kwetu 40 wameolewa early marriage 15 bodaboda 30% wakulima 5. ndo wameenda sekondari, wengine ni vibarua mjini kuna shule za English mediam zina ada nafuu kati ya 150k kwa 300k day kwanini nisimpeleko huku ni mpeleke ya 2m?
 
🙌🙌🙌🙌
 
Hoja hii naiunga mkono asilimia mia
 
Hawa vijana wanajidanganya sana mkuu...
Mwanamke anahitaji mwanaume anaempa solutions, hata kama amemsokota lakini tayari umempa jibu na lazima aamini kwamba jibu la mwanaume wake ndio jibu sahihi...😂
Ndiyo maana vi-thread vya kataa ndoa vinapata support kumbe hawana elimu hii.
 
Siku zote Mimi kwanza kabla ya wengine wote kasoro mtoto asiyeweza jitafutia
Katika kuhudumia familia yako usijisahau kabisa, kwanini mtu anaweza kulipa ada ya 2m kwa mtoto akashindwa kujilipia kifurushi cha compact plus cha dstv cha 90k kwa mwezi uangalie soka ukiwa nyumbani kiliko kuenda vinanda umiza au bar wanao kulazomisha kununua sosa ya 2k ambao ni ya jero kwa mangi.
 
Kama umeamua kutunza familia kwa hiari yako na unajua part yako huwezi kufikiria unalemewa na majukumu ata siku moja, Mwanaume ni provider, security, teacher, care giver, burden carrier na zaidi

Hivi tuta preach vp mwanaume kuwa superior then bitch about majukumu yako?? Ushaona Superman au Batman analalamika maadui wamemzidi wampumzishe kdogo? Mtu yeyote mashuhuri kwenye historia ni mtumishi yani anajitolea kwa faida ya wengine.

Kama huwezi kujitolea kwa ajili ya familia yako usioe acha ku preach ubinafsi hii ni feminism ya kiume sjui tuiitaje.
 
Majinga mengi humu hayatakuelewa ila akishafika umri wa babake ndio anaanza kukumbuka wakati huo watoto wamemchukua mama yao yeye amebaki kwake na house boy na wanamtumia hela mpaka akiomba tu.
 
Save
Save some money bro invest, ukizeeka watoto wanajali mama yao hata uwe baba mzuri kiasi gani kwanza huwezi kuhamia kwa mwanao mzee save some cash hudumia familia moderately acha kujiita superman you ain't built for that hiyo ninreal life sio muvi. Watoto wanakua wanasahau baba zao wewe mwenyewe jiangalie tu sasa piga hesabu ukislzeeka nani atakupa kipaumbele kama haujajiwekeza kuwa na income yako? Hudumia familia but save some money and invest ukizeeka usianze kutoa laana kwa kila mtoto shauri yako. We are fathers yes tunahudumia na tunasom3sha tena ghali haswa sababu ya kipato lakini pia savings ipo mwanaume lazima kuweka mipango utaishia kutoa laana zisizo na mpango unageuka baba msumbufu watoto wana maisha yao baadae so take it from your fellow men usijione bingwa sana dunia hii haiko fair kwa kiumbe anayeitwa mwanaume. Let me put my pen down.
 
Maji umeyavulia sharti kuyaoga, Go all the way for your family!

Kua Baba yani Simba Dume kuna gharama there is a price to pay, Heavy is the Crown. Kila leo tunasema wanawake wabinafsi, naona tunatoka kwenye reli ss, niwe na pesa nisimpe mke hela ya saloon? Upuuzi.
 
Hujaambiwa usihudumie family, hujaambiwa usimpe mkeo pesa au usipeleke familia on vacation lakini weka pesa weka miradi ambayo ukizeeka au ukiumwa itakuhudumia. We have seen men wakiwakosa huduma wake zao wanawakimbia simply hana uwezo tena mke anaanza kuliwa huko sababu hana wa kumpatia tena watoto hawahudumii baba yao hii sio hadithi kama imetokea huwezi kujua kwako itakuwaje. Keep your bag secured dont play a big spender usije kuanza kutoa laana uzeeni. Usiseme hatujakuambia. Its a men's talk.
 
This is a fact. A man pays the price, using all his energy to become sb and one will now be dictating for him? No!
 

Attachments

  • 20240910_182948.jpg
    39.9 KB · Views: 3
Hyo superman ni figure speech tu sawa tuchukulie simba dume kwenye himaya yako

Kwanza huwezi kuhudumia kuliko uwezo wako hii ndo key point, pili saving money na kujitoa havihusiani ku save ni lazima hasa kwa baba wa familia akiba muhimu! So unaweza save money na ku provide na hili ndo lengo

Point yangu kama umeamua kuoa lazima ujitolee 100% mindset gani za kipuuzi kushauriana ubinafsi? Una save ndio ila kipaumbele ni watu wa himaya yako! Kuna utofauti gan hiyo mindset yako na feminist? Na nan kakupa guarantee utaishi hadi uzeeni? Point ya msingi tutafute sana na ku save zaidi na kwa style hyo sahau mwanamke kua loyal kwako.
 
Mjomba kwanza ntakua fala kumpa mwanamke hela ya saloon kama sina akiba nzuri, hayo matumizi ni ziada unafanya pale unamudu tu! Utapeleka watu vacation kama huna balance mkuu??

Am gon keep my bag, but i wont hold it on my loved ones neither hommie.. its whr we divert bruh. Thats the difference btn me and u
 
Mzee umejieleza halafu unaanza kuchanganya mafaili. Feminist anaingiaje hapa aisee? Hebu fahamu kwamba kutumza familia haihitaji majadiliano lakini kutunza pesa ya uzeeni au akiba ya emergencies inahitaji majadiliano huwezi kujiita baba huna akili ya kusevu pesa na kuamini kwamba utaishi utazeeka na kuona familia yako ikikua na kumea sasa unamiliki familia ya maana gani kama mwanaume? Usibishan3 kwa kubisha tu kuwa reasonable its a men's talk.
 
Well, live your life
 

Attachments

  • 20240911_041600.jpg
    85.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…