Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Siku mbaya kazini leo. Uamuzi wa kumuanzisha Manula ulitokana na uoga pia. Yule Salim angeweza kucheza vizuri. Approach ya Simba kwenye mechi ya leo ilijaa uoga sana.Mzee leo umewaweka juu ya meza vitano vya haraka😂😂😂