We Warned You, Objective Football sio Kocha

We Warned You, Objective Football sio Kocha

Hii mechi wangefungwa Singida Fountain Gate hizo goli 5, mngekuja na zile porojo zenu za bahasha, na bla bla nyingine.

Ila ni bahati mbaya rungu limewaangukia nyinyi wenyewe, wazee wa visingizio. Nipo nimekaa pale nawaangali mnavyo povuka.
 
Ngoja wapigwe maana watu wanaambiwa hawasikii. Piga kabisa.
Hata mimi nimefurahi kipigo cha leo ili mashabiki maandazi wajue kwamba timu yetu mbovu. Tukiongea ukweli tunatukanwa.

Kuna wachezaji wengi wa simba huwa siwakubali kama mzamiru na kanoute ila kuna mashabiki oya oya huwaambii kitu kwa hizo takataka.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hii mechi ilikuwa Mpambano wa Fitness aliyekuwa na strong fitness ndiyo alishinda game musimuonee kocha Hata kidogo
Kabisa, wachezaji wetu kipindi cha pili walionekana wachovu sana
 
Tatizo la Simba sio kocha pekee. Simba ina kocha m'bovu na wachezaji wachovu waliotumika miaka mingi. Mzamiru, Kapombe, Zimbwe, Saido na, Chama hawawezi kuipa mafanikio tena. Halafu kuna wachezaji wasio na kiwango cha kucheza Simba kama Kanoute, Onana, na Miquisson.

Pia anaesimamia suala zima la usajili Simba amefeli vibaya mno.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo timu yote ni mbovu?
Ila hapo kwa Kanute nakataa.
 
Ushindi wa Leo umwendee Ahmed Ally. Jamaa alikuwa anaongea kinyesi kwelikweli. Huyu alipaswa kuwa muimba taarabu angefaa sana.
Nina wasiwasi kua wenda GENTA MY CINE ndio huyo Ahmed Aly anae tusumbua humu.
 
Screenshot_20231105-193045.jpg
 
Back
Top Bottom