New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana.
MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ?
Vitu vimewekwa hovyo hovyo. pia haitumii teknolo ya Ai.
MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ?
Vitu vimewekwa hovyo hovyo. pia haitumii teknolo ya Ai.