Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Bila ya kupoteza muda wanajamvi,Mimi napenda kuwapa pongezi kubwa sana TCCRA Kwa kupiga Pini Site za Ngono mitandaoni...
Na pia nawapa pole saana wale wanachama wa CHAPUTA
 
Siandiki hata nukta hapa...ila wcha niseme kuwa hawajui walizuialo
 
Inakusaidia nini katika harakati zako kumudu maisha yako? Tanzania 99.99999% ni watu wasiojiellewa. Kuna ya msingi kuliko ujinga huo...
Bila ya kupoteza muda wanajamvi,Mimi napenda kuwapa pongezi kubwa sana TCCRA Kwa kupiga Pini Site za Ngono mitandaoni...
Na pia nawapa pole saana wale wanachama wa CHAPUTA
 
Heading TCCRA
Body TTCRA

Kmmmk, sijui umechanja ya wapi. Wape taarifa kwamba, sasa hivi hatuna haja na porn za kinguruwe, tunashiba na Team Uaminifu
Mbona kaandika TCCRA vile vile.....
 
Afu ukumbuke hyo pamoko ni guest book inayopatika katika site ya free guest book.com kwahyo ili kuitoa lazima u contacts za GB.com.

Sababu uwezi kufungia (guest book .com website ) yote kutokana na inatoa customize pages nyinge kama hiyo ambazo zinaweza tumika hata kwa kazi nyingine

Wafungie address yote domain name na subdomains zake zote. Its simple.
 
Wajuba wanapoelekea ni kuwavamia watu majumbani kwao kujua wamelala na nani mna vyeti vya ndoa au mnadukuana tu... Kwa kifupi hiyo ishu porn ni private matters tu. Na wameanza na hizo mjiandae wanmagesti uingii bila cheti Cha ndoa
 
Telegram kuna grp la Bongo hookup na Juice..Hayo tu Yananitosha..
 
Back
Top Bottom