Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Ukiwa kama Mtanzania mwenye ufahamu juu ya tovuti za ngono yapi maoni yako baada ya TCRA kuzuia tovuti hizo hivi karibuni?

Je, hatua hii kwako unaichukuliaje?
 
Tumia VPN inaitwa UPX Ila sikupenda ku share na wewe dhambi Mimi nimeshaacha dhambi hizo
 
Kusema kweli sijapenda na ninamalalamiko makubwa sana juu ya hilo! Haswa kwa sisi warahibu wa ngono tunadharirika na tumeathirika hatujui style mpya,hamu haipo Tena nimateso makubwa
 
Natumia telegram, kuna channel za kikenya very bombastic.
 
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Tupo bize na DP Dubai
 
Back
Top Bottom