Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Uliposhauri wazuie na UPN ndio umeonyesha jinsi uko shallow na una uelewa FINYU sana kuhusu Vitual Private Network (VPN).

Mkuu hata C.I.A ya marekani wameshindwa kucrack VPN hapo Kolomije ndio wataweza ?!! China na technology yao na udictetor wa kufungia mitandao waChina wanatumia VPN na serikali yao imeshindwa kuzuia ip address diversion za VPN hapo nchi isiyoweza hata kutengeneza betri ya saa ndio wataweza ?! ebv !!
Inawezekana kwa Maombi - JIWE!
 
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Nchi ya ovyo sana hii!badala ya kushughulikia mambo ya uhalifu kama panya road et al!wanahangaika na porn sites etc!
 
Alafu wanajidaigi hawaangalii wakati wao ndio wanaongoza🤣🤣🤣🤣
Kumbe wanaoenda kuangalia jinsi wenzao wanavyogegedwa
Duniani kila mtu na starehe yake kuna watu wanapenda sex,wapenda pombe,n.k so usilazimishe kile wewe unapenda na mwenzio yuko hivyo🤷🏼‍♀️
 
Ninachojua Mwanamke yeyote yule anayependa kujichua ni lazima awe muangalia porno mzur Sana[emoji41]
images-961.jpg
 
Back
Top Bottom