Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Inamaana kila sikU natakiwa kuwa na mb300 au?
Hapana ni kwamba kila siku unapewa mb 300 bure. Zikiisha unasubiri tena saa sita usiku unaliunga.

ukiwa na line mbili na zaidi unakula bata zaidi.

so cha msingi tafuta line hata 3 za airtel😄😄 upate 900mb free kutoka kwenye hio app.

mimi natumia Ha tunnel, hio inasumbua kidogo maana mpaka upate configuration file, lakini na yenyewe unapata Mb bure kabisa bila malipo
 
mzee hyo 300mb ukiiweka hata ukitumia na kufungua videos inatumika hyo hyo bila kuisha?
 
Hapana ni kwamba kila siku unapewa mb 300 bure. Zikiisha unasubiri tena saa sita usiku unaliunga.

ukiwa na line mbili na zaidi unakula bata zaidi.

so cha msingi tafuta line hata 3 za airtel[emoji1][emoji1] upate 900mb free kutoka kwenye hio app.

mimi natumia Ha tunnel, hio inasumbua kidogo maana mpaka upate configuration file, lakini na yenyewe unapata Mb bure kabisa bila malipo
Ha tunnel wanatoa mb ngapi kwani?
 
Hapana ni kwamba kila siku unapewa mb 300 bure. Zikiisha unasubiri tena saa sita usiku unaliunga.

ukiwa na line mbili na zaidi unakula bata zaidi.

so cha msingi tafuta line hata 3 za airtel[emoji1][emoji1] upate 900mb free kutoka kwenye hio app.

mimi natumia Ha tunnel, hio inasumbua kidogo maana mpaka upate configuration file, lakini na yenyewe unapata Mb bure kabisa bila malipo
Inamaana kila sikU natakiwa kuwa na mb300 au?
Swali zuri
Hahah Tushatumia Sana ha tunnel plus ukweli Ni kwamba Ni ya muda tu siku chache zijazo mwamba utaamua mwenyewe ku unstall hio apk app .mark my word otherwise utuambie una muda gani Toka uanze kuitumia??
 
Ebu fafanua vizur hapo mkuu
 
Hahah Tushatumia Sana ha tunnel plus ukweli Ni kwamba Ni ya muda tu siku chache zijazo mwamba utaamua mwenyewe ku unstall hio apk app .mark my word otherwise utuambie una muda gani Toka uanze kuitumia??
nina mwaka mzima sasa naitumia
nilichelewa sana kuifahamu

ona salio langu hapa na bado niko hewani

Screenshot_20210829-105801.png
Screenshot_20210829-105812.png
 
raha tupate sie,kukeleka iwe kwenu.how come?
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
 
Wakuu ntakaniangie pilau kila nikifingua aifunguki
# naomba nielekeze jinsi ya kuitumia VPN maana nakosa mambo mengi # nimedawload Turbo vpn
 
Back
Top Bottom