Week end Special

Miezi tisa mingi sana kwa hawa kaka zetu lakini unaweza kuwa umebahatika kuwa na mume mwenye ustahimilivu, wapo ila wachache sana, na ndio maana wanafanya tuache asilimia nyingi kwamba wanafanya tu bora usijue
 
Kaka, habari ya kuadimika?
Dah! yaani wewe tangia upigwe kibuti na Lizzy ndio umeamua kuhama kijiji kabsaaaa! karib tena bana! hakikisha unapitia sheria za JF kabla kuanza kupost
 
It simz siku hizi hata kinyume chake ni true....why tunahalalisha haya? au tupo weak?
Unajua hata iwe vipi shantel lakini kimaumbile hasa mwanamke akicheat basi nature inamsuta in every angle. (hebu fumba macho dakika 5 ufkirie utagundua nimeongea bonge la pwenti)
 
Kama nature inasuta mwanamke, kwa hiyo mwanamke ambaye nae anatafuta kuridhishwa yaani mumewe yuko weak nature itamruhusu acheat?
au huyu jamii itamuelewa, maana umesema wanaume inawabidi ina maana kuna wakati pia itabidi kwa mwanamke?
 
Klorokwini klorokwini?
 
Niliweka neno "mwanaume rijali", wewe unaongelea wale hafu kasti Shantel!
Mwanamke kama hauridhishwi unatakiwa kuacha sio kucheat, hapo nature itakuelewa
 
Miezi tisa mingi sana kwa hawa kaka zetu lakini unaweza kuwa umebahatika kuwa na mume mwenye ustahimilivu, wapo ila wachache sana, na ndio maana wanafanya tuache asilimia nyingi kwamba wanafanya tu bora usijue

Asante Gaga naona umenipata... Mzima lakini?
 
Niliweka neno "mwanaume rijali", wewe unaongelea wale hafu kasti Shantel!
Mwanamke kama hauridhishwi unatakiwa kuacha sio kucheat, hapo nature itakuelewa
Kwa hiyo haijawahi kutokea mwanamke akamridhisha vizuri sana mumewe kila anapohitaji na bado anatoka?
 
Tulizo... That is why i soo wanted your input for i am still trying to figure you out... Nimeacha this part of your post, for to me is the one that has standed out (as per my interest) Misimamo yako in love na relationships iko superficial (yaani profound) saana; and thus still imagine how care free you are.... Naona sasa leo umeniongezea kibomu kingine... I don't know nisem nini... Ila tu imenifanya niamini kua you have a unique heart... ungekua young ningesema wait and see, naamini you are not yet old but i do know kua tayari wajitambua hivo no need of waiting to see....
 
Dah! yaani wewe tangia upigwe kibuti na Lizzy ndio umeamua kuhama kijiji kabsaaaa! karib tena bana! hakikisha unapitia sheria za JF kabla kuanza kupost

Daaaah
Yameanza ya Lizzy tena?
Hahahahahah
Kaka, nimeshasahau kusoma, sasa utanisaidiaje?
Au mpaka uwe na weekend special ya Shantel?
 
Ashadii , Tulizo ni stranger wako nini,hahahahaaa joke, it seems humu kila mtu ana secret admire wake ila Tullizo huwa napenda sana na mie michango yake
 
Kwa hiyo haijawahi kutokea mwanamke akamridhisha vizuri sana mumewe kila anapohitaji na bado anatoka?

That will never happen na ndio maana nikasema kwa mwanamme rijali kutulia na kuridhika na mwanamke mmoja inawezekana lakini ni sacrifice, maumbile ya mwanaume yanamruhusu kufanya sex kila siku na infakt anahitaji sex at least after every three days, sasa angalia demand ya mwanamke kwenye sex (kama utampa purukushani za kisawasawa anaweza akakaa wiki mbili ana uchovu) kisha vuta kalkuleta yako, weka siku za mwezini, changanya za ujauzito, weka mood ya mwanamke ambayo ni concern kubwa kwenye sex kwa mwanamke, baada ya kujifungua e.t.c nakazalika!

msipingane na nature wajameni, lazima mkubali matokeo,
 
Daaaah
Yameanza ya Lizzy tena?
Hahahahahah
Kaka, nimeshasahau kusoma, sasa utanisaidiaje?
Au mpaka uwe na weekend special ya Shantel?

Sasa ulipotelea wapi? au hela ya cafe mgogoro? Michelle nae sjui kaolewa kijiji gani wallahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…