Will u marry me? lol (Kaizer akikudivorce nishtue)
Kwenye mabano... It wont happen...lol... That Guaranteed!! (Gosh! i am humbled... Of coz i will marry you if and when i am free)
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako
So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
Shantel haya maneno mbona kama umegusa mtima wangu!.....mwenzio maamzi niliyochukua ni kufuata kipendacho roho.I pray tha I make it through this relation..............
Umeona eee, wakati mwingine kufata moyo ni muhimu mpendwa, thanks kama umeifurahiaShantel haya maneno mbona kama umegusa mtima wangu!.....mwenzio maamzi niliyochukua ni kufuata kipendacho roho.I pray tha I make it through this relation..............
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Inaendaga mbio ndio ila ndio hivo tena tunjizuia coz inaonyesha hakuna penzi linalochanua
ndani ya jf kila mtu ni machozi tu analia,katendwa, watu waongo, hawawi wakweli, naona wanatamaniana tu
inaonekana bora ukutane na mwanaume baa au disco kuliko humu, maoni yangu tu shantel
Unapopenda,penda kwa kumaanisha,la sivyo ndio kuuendekeza mwili na tamaa zake.Ulimakafu, kujiendekeza kivipi wakati kila kitu kinatokea chenyewe tu, embu chambua hapo kiduchu
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako
So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
Masaki una maneno sana hahahaa
Hizi ndoa za mkeka itabidi tuzichunguze kaizerNow you know why I married her in the first place au sio Kloro...manake naona unamemezea mate mke wa mtu apo lol
On a serious note your wish ni kama fisi akitamani mkono wa binadamu udondoke .....hahahaha
How shantel?? unless na wewe ni vampireVempire utamjua tu kwa first look SaraM au sio