Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Weekend hii upo wapi na unafanya nini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja kuyachukua tujambe wote, yaani napenda makande acha kabisa.
Ila ya leo nimeweka maharage,mahindi na njugu mawe yaani matraaaamm na nazi mbili,..njooo tushindane kumjambia mume wetu mwenza wooiii
 
#makaoMakuu after making family dinner now on TV watching preachings
Baada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni

Mwenzenu toka asubuhi nipo home kupika, kufua, na usafi wa jumla mida hii nipo mahali natengeneza kucha

#Tuambie upo wapi na unafanya nini

Wa makao makuu Kama Kuna anayeenda mnadani (kula nyama) anijuze
 
..
images%20(4).jpeg
 
Nipo na wanangu tunakula ugali, samaki, viazi vitamu na nyama choma.
 
Back
Top Bottom