Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Nimekuhamm...usharudi Hong Kong??Kama kawa babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuhamm...usharudi Hong Kong??Kama kawa babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ila ya leo nimeweka maharage,mahindi na njugu mawe yaani matraaaamm na nazi mbili,..njooo tushindane kumjambia mume wetu mwenza wooiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja kuyachukua tujambe wote, yaani napenda makande acha kabisa.
Baada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni
Mwenzenu toka asubuhi nipo home kupika, kufua, na usafi wa jumla mida hii nipo mahali natengeneza kucha
#Tuambie upo wapi na unafanya nini
Wa makao makuu Kama Kuna anayeenda mnadani (kula nyama) anijuze
wafanyakazi wa uma wakipata mshahara utawajua tu.
Yaani Colii napenda kula mimi jomoniii[emoji23]mars kunani??
Usinizuge hivyo buanaaa...Sayari ya Mars kuanzisha maisha mapya
Soon Dunia itakuwa sio sehemu salama ya kuishi,
Wali maharage lini ???
Pamoja Sana mkuu#makaoMakuu after making family dinner now on TV watching preachings
Utakuwa ujapata ajira wewewafanyakazi wa uma wakipata mshahara utawajua tu.
Wape hi hapo Geneva of Africa mwananguNapiga k.vant hapa, karibu sana sema nipo cha chuga chugani
Nisharudi home ,siku ingineTutafutane basi tukale tu kuku mwanga bar sababu nipo sna kampan
😂😂😂😂😂tunakufata huko huko homeNisharudi home ,siku ingine
Nipo na wanangu tunakula ugali, samaki, viazi vitamu na nyama choma.Baada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni
Mwenzenu toka asubuhi nipo home kupika, kufua, na usafi wa jumla mida hii nipo mahali natengeneza kucha
#Tuambie upo wapi na unafanya nini
Wa makao makuu Kama Kuna anayeenda mnadani (kula nyama) anijuze
Upo chimbo lipi , me nataka kujisogeza double tot 🍷Napiga k.vant hapa, karibu sana sema nipo cha chuga chugani
Usinizuge hivyo buanaaa...
Wal'nazi ndondo jumatano[emoji4]
NakaziaBar nakunywa bia
Huyo dada hapo kwenye avatar ni wewe?
Msakuzi 😄😂Ngoja nije kuonja kabla chombo hakijaruka
Location sasa [emoji23]