Mweweso
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 688
- 755
Yente yenteWape hi hapo Geneva of Africa mwanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yente yenteWape hi hapo Geneva of Africa mwanangu
Nipo hapa joy lounge sakinaUpo chimbo lipi , me nataka kujisogeza double tot 🍷
Busca da la vidaBaada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni
Mwenzenu toka asubuhi nipo home kupika, kufua, na usafi wa jumla mida hii nipo mahali natengeneza kucha
#Tuambie upo wapi na unafanya nini
Wa makao makuu Kama Kuna anayeenda mnadani (kula nyama) anijuze
Nimekuhamu sana bibieMm nipo uswahilini kwetu [emoji847]View attachment 1164695
Eti nini?
Felister.Ni wewe au mods[emoji44][emoji44] mbona sielewi hapa hzi quoting
AbeeFelister.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinga ww nimekuhamu pia babe wangu [emoji847][emoji847] [emoji8][emoji8]Nimekuhamm...usharudi Hong Kong??
Nimekuhamu pia jamaniNimekuhamu sana bibie
nimelipenda jina lako.Abee
Haaa sawa shukraninimelipenda jina lako.
Mimi Ni mama sitakiwi kuwa nje usiku huu ,kitambo Sana nipo nyumbaniNipo hapa Night Club..... karibu tukeshe....
Kupo kama jfHivi huko insta kunafananaje maana sjawai kufika kabsaa
Hila hiki ulichokifanya mtu pori wewe, nngekuwa moderator ningekupiga ban la maishaAhahah love you too felster
Uwe na usiku mwema upate kila lililo jema