Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Busca
Baada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni

Mwenzenu toka asubuhi nipo home kupika, kufua, na usafi wa jumla mida hii nipo mahali natengeneza kucha


#Tuambie upo wapi na unafanya nini

Wa makao makuu Kama Kuna anayeenda mnadani (kula nyama) anijuze
Busca da la vida
 
KUZIMUA KIDOGO
IMG_20190727_205108.jpeg
 
Back
Top Bottom