Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #41
Ahaa kweli .Na mpaka sasa hivi imefika 59 kuna mchepuko niliukopesha umekuwa loyal umerudisha.hata sitaki tena kampany buku namtafuta shosti wangu mlevi namnunulia konyagi kubwachalii hali tete kama upo vzr mlipie tu uber si unaona anavyodunduliza?
hongera mzigua ila usitoe yote nrushie ya juice ya miwa
mzigua
miss natafuta ujue mpaka sasa hivi wewe ni don humu ujue
Nakuongezea unywe bia 2 ili urudi ukiwa mchangamfu kidogo.Jamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
Situmii pombe Mkuu.naenda tu kuosha machoNakuongezea unywe bia 2 ili urudi ukiwa mchangamfu kidogo.
Mungu akupe danga lenye pesa ununuliwe Range kabisa, huwa u mkweli sana kiasi flaniMie natumia usafiri wa watu mkuu. Sijabahatika hata Pikipiki bado. Labda nikupitie Na uber
kutoka muhimu sana home panachoshaauna buku saba alafu unakunywa maji tu, ok!
Kunywa maji mengi hapo kwako then ulale. It is too expensive out here to have fun with elfu saba in your handbag!
Too expensive for your body and budget!
Mwambie bnakutoka muhimu sana home panachoshaa
tayariMwambie bna
wewe toka hiyo pesa kubwa sanaMwambie bna
We Nenda bhanaAhahaa yaani nikae kama mzigo hata nauli sina? Siwezi jamani
Me pia nakunywa majiJamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
Kwa buku saba huku nje patakuchosha zaidi.kutoka muhimu sana home panachoshaa
Kuna chura zakutosha leo mitaaniWicked weekends!
Niliona picha ya Miss Natafuta hata hana chura![emoji19][emoji19][emoji19]Kuna chura zakutosha leo mitaani
Dear twende Governor Pub KndonJamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
AhahaaNiliona picha ya Miss Natafuta hata hana chura![emoji19][emoji19][emoji19]
Mi muhenga bna twende MastersDear twende Governor Pub Kndon