Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
Ahaa kweli .Na mpaka sasa hivi imefika 59 kuna mchepuko niliukopesha umekuwa loyal umerudisha.hata sitaki tena kampany buku namtafuta shosti wangu mlevi namnunulia konyagi kubwachalii hali tete kama upo vzr mlipie tu uber si unaona anavyodunduliza?
hongera mzigua ila usitoe yote nrushie ya juice ya miwa
mzigua
miss natafuta ujue mpaka sasa hivi wewe ni don humu ujue