Nikupitie wapi?Mi muhenga bna twende Masters
Tupia picha ya Miss Natafuta.Huenda nikatoka naye usiku wa leoNiliona picha ya Miss Natafuta hata hana chura![emoji19][emoji19][emoji19]
Kizee kama wewe unataka umpeleke Miss wapi?Tupia picha ya Miss Natafuta.Huenda nikatoka naye usiku wa leo
Nimelipwa pensheni juzi..Nina pesa ya kumwagaKizee kama wewe unataka umpeleke Miss wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]!Nimelipwa pensheni juzi..Nina pesa ya kumwaga
Napenda wazee sana .sema mizee ya siku hizi vibaka sanaKizee kama wewe unataka umpeleke Miss wapi?
Nitakuwa naye Masters.Kama vp njoo na waif ujiunge nasi.Bili zote kwangu.[emoji23][emoji23][emoji23]!
hahahaNapenda wazee sana .sema mizee ya siku hizi vibaka sana
Soma hapo juu,Miss amesema vizee vya siku hizi ni vibaka!Nitakuwa naye Masters.Kama vp njoo na waif ujiunge nasi.Bili zote kwangu.
Cha msingi ni waleti iliyotuna...Umri si kikwazo kwa Miss Natafuta.Sasa wewe endelea kubeba vyuma alafu tuona usiku wa leo nani anaondoka na Miss Natafuta😀😀Soma hapo juu,Miss amesema vizee vya siku hizi ni vibaka!
Wewe mzee jeuri sana!Cha msingi ni waleti iliyotuna...Umri si kikwazo kwa Miss Natafuta.Sasa wewe endelea kubeba vyuma alafu tuona usiku wa leo nani anaondoka na Miss Natafuta😀😀
Uzee mwisho ni Chalinze.Dar kila mtu ni bebi😀Wewe mzee jeuri sana!
Mwambie anitumie nauli etiWewe mzee jeuri sana!
Uko wapi nije maana kichwa kinaniuma nitatumia na nani huu mzigo weekend hiiJamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
Njoo masters nikudangie plsUko wapi nije maana kichwa kinaniuma nitatumia na nani huu mzigo weekend hii
View attachment 888728
Mimi.
Nina kadi ya harusi double harusi inafanyika Sinza Deluxe nipo Makongo mda huu.
Kwa anaetaka tukale maji aseme.
Nakuja asapNjoo masters nikudangie pls
Kama Mimi. Nilikua namdai mtu laki Na nusu toka April. Leo kanitumia laki hata sijategemea maana nilijua ndo ishatoka.Ahaa kweli .Na mpaka sasa hivi imefika 59 kuna mchepuko niliukopesha umekuwa loyal umerudisha.hata sitaki tena kampany buku namtafuta shosti wangu mlevi namnunulia konyagi kubwa