Weekend na mwanaJF

Weekend na mwanaJF

Cha msingi ni waleti iliyotuna...Umri si kikwazo kwa Miss Natafuta.Sasa wewe endelea kubeba vyuma alafu tuona usiku wa leo nani anaondoka na Miss Natafuta😀😀
Wewe mzee jeuri sana!
 
Jamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
Uko wapi nije maana kichwa kinaniuma nitatumia na nani huu mzigo weekend hii
IMG_20180816_134355.jpg
 
Ahaa kweli .Na mpaka sasa hivi imefika 59 kuna mchepuko niliukopesha umekuwa loyal umerudisha.hata sitaki tena kampany buku namtafuta shosti wangu mlevi namnunulia konyagi kubwa
Kama Mimi. Nilikua namdai mtu laki Na nusu toka April. Leo kanitumia laki hata sijategemea maana nilijua ndo ishatoka.
 
Back
Top Bottom