min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwa nini unasema ni mhuni?Anko nawewe umeingia kwenye mfumo wa HUYU mhuni🫵🤣🤣
Kwa nini unasema ni mhuni?Anko nawewe umeingia kwenye mfumo wa HUYU mhuni🫵🤣🤣
Nanukipata gonorrhea utuambieSiiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho
Mpaka week inaisha itakuwa Powa
Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
View attachment 3631407
View attachment 3631408
Umeandaa sabato? Achana na hizi tangawizi!kwahiyo kuanzia leo usiku ni mwendo wa " yes bby fu**k me harder mara oooh am c'ming"
dadeq enjoy bro nawaonea gere
Umejuaje anahela za mawazo?Emu nicheke, hahahaaa🤣 njooo ukaolewe na mtoto wa gsm wa katoro ili ufatwe na helicopter kwenda salon, unapenda show off sana kibaya una vihela vya mawazo🤣🤣🤣
Umejuaje hana.Huna hela wewe, huna makazi mbona hutembei mitaani au muhamiaji haramu🤣🤣🤣🫵🫵☕☕
Dogo namjua kitambo sana japo hajui mi nani, nilimjua 2020 anaenda kutafta watafsri document Ubalozi fulan ✍ ila apunguze sana kilaji ataugua MafigoAnko nawewe umeingia kwenye mfumo wa HUYU mhuni🫵🤣🤣
Kashanijibu,kasema asipangiwe kutoa.labda yupo anazikusanya😅😅
Achana na hizi mambo makuu imetosha hazina maana yoyote unajiumiza mwenyewe tu wameshakusoma na wameshakuelewaSiiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho
Mpaka week inaisha itakuwa Powa
Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
View attachment 3631407
View attachment 3631408
Alitutukana bila sababu, Kwan unamuunga mkono ? Nilijitahidi mumuelewesha unaeza TUMIA pesa zako bila kutukana mtu na ukaishi poa tu ikawa kesiKwa nini unasema ni mhuni?
Dola 12000 Kwa mwezi Kwa mtu alie nje ya nchi ni kidogo labda ange kua ndani ya nchiUmejuaje anahela za mawazo?
Jaribu kumkalisha chini mueleweshe pesa HAITAJI KELELE, TUMIA taratibu kutukana watu si vyema Kuna watu walikua na hizo pesa na waliishi nje lakini sahivi ukiwaona dahDogo namjua kitambo sana japo hajui mi nani, nilimjua 2020 anaenda kutafta watafsri document Ubalozi fulan ✍ ila apunguze sana kilaji ataugua Mafigo
Wewe tena😁😁Kwa nini unasema ni mhuni?
sa tajiri ake anataka tusubiri mwaka mzima jamni😪😪,,, hebu na sisi tutafute za kwetu warda🤣🤣
Yaani, tajeer anasema asipangiwe😁😁sa tajiri ake anataka tusubiri mwaka mzima jamni😪😪,,, hebu na sisi tutafute za kwetu warda🤣🤣
SeranKwanini upewe na bure na umpangie mtu akupe lini? Za kupewa anayekupa humpi mashrti