December bado haijaanza mkuu relax“Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta.
Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “
-Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
Nyinyi mfungwe tu mpaka pale mtakapo tuambia ukweli hiyo timu mmiliki wake halisi ni nani!!Ngojeni kwanza Singida tunakufa huku ndugu zangu
Daah! Yani saizi kila jambo siasa aisee! AaaghrrrNyinyi mfungwe tu mpaka pale mtakapo tuambia ukweli hiyo timu mmiliki wake halisi ni nani!!
Neema au Ester! 😀Si Neema?
Ila man utd kwa kujifariji mpo vizuri, sitoshangaa na msimu ujao mkashindwa kushindwa kushiriki michuano ya ulaya.Manutd njia ya ubingwa nyeupe, Asenyeto hawajawahi kuwa na akili ya kubeba makombe
Mkuu kesho si mbali Totenham atampunguzia jamaa kasi.“Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta.
Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “
-Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
🤣Nyinyi mfungwe tu mpaka pale mtakapo tuambia ukweli hiyo timu mmiliki wake halisi ni nani!!
HahahahahaaaaaKaka hii mechi unaiangalia?
Mkuu ndio kwanza dakika ya 76 😆😆Kaka hii mechi unaiangalia?
Haya bana hongereni kwa kubahatisha.We jamaa unavituko sana. Haya Eze kaondoka na mpira, hat trick yake ya kwanza Arsenal.
Bahatisheni na nyinyi, who is eze hahaha guess you know him now.Haya bana hongereni kwa kubahatisha.