Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Jamani jamani hiyo yakupima leo kufata majibu majibu kesho iliwahi nikuta siku moja, nimeenda agakhan saa 3 usiku nimepimwa vizuri naambiwa sijui makaratasi yakuandikia majibu hayapo kwahiyo nirudi kesho kidogo niwaambie niambieni hata kwa mdomo [emoji1], . Dr akaniambia nichukue namba yake kesho nikienda nimtafute mhh. Can you imagine the whole night bila majibu. Kesho ilifika nimekondaaa haha. Hivi hii huwa sahihi kweli?
 
Nilistuka kuona napewa nafasi za juu kwenye umaaluni kuliko G..........! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimecheka sana hii sentensi
 
Jamani jamani hiyo yakupima leo kufata majibu majibu kesho iliwahi nikuta siku moja, nimeenda agakhan saa 3 usiku nimepimwa vizuri naambiwa sijui makaratasi yakuandikia majibu hayapo kwahiyo nirudi kesho kidogo niwaambie niambieni hata kwa mdomo [emoji1], . Dr akaniambia nichukue namba yake kesho nikienda nimtafute mhh. Can you imagine the whole night bila majibu. Kesho ilifika nimekondaaa haha. Hivi hii huwa sahihi kweli?
Hahaa kwa kweli unaona asubuhi kama haifiki. Me mwenyewe ningeomba tu anitajie majibu kwa mdomo khaa
 
Unaweza kwenda kupima baadae unajiuliza hivi kwanza kitu gani kimekupeleka kwenda kupima?

Tunakoelekea huyu man of people inabifi apewe kipimo cha HIV awe anatembea nacho kama kitasaidia kupunguza speed! Akikiona anaweza kuogopa akifikiria majibu. Sio kwa kujilipua huko!
 
Supporting documents, hahaha! Hili neno limenikumbusha Uturn blog ya Mange kuna mtu alikuwa anaitwa mudy alikuwa analitumia sana[emoji2][emoji2][emoji2]
dah umenikumbusha mbali...U turn ilikuwa best!!! tulizoeana wenyewe ilikuwa kama vile tunaangalia series flan ameizing! mtu unasoma comment huchoki....nilikuwa namfananisha Muddy na The Boss, halafu Rutashoba na Mentor.
 
Back
Top Bottom