Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Miiii nko zangu apa nasubiri mambo ya mlokole aliyenusurika sijui Lara ata tuwekea saa ngapi??

Tunamsaka lara 1 kwa kurunzi na kibatari kwa pamoja tena juu kuna karabai ili kuongeza mwanga. Katufanya mateja
 
kumbe niwewe
 
dah umenikumbusha mbali...U turn ilikuwa best!!! tulizoeana wenyewe ilikuwa kama vile tunaangalia series flan ameizing! mtu unasoma comment huchoki....nilikuwa namfananisha Muddy na The Boss, halafu Rutashoba na Mentor.
Afu kulikuwa na mtu anatumia avatar anayotumia the boss humu, sijui ndo huyo muddy sikumbuki vizuri kitamboo....
 
dah umenikumbusha mbali...U turn ilikuwa best!!! tulizoeana wenyewe ilikuwa kama vile tunaangalia series flan ameizing! mtu unasoma comment huchoki....nilikuwa namfananisha Muddy na The Boss, halafu Rutashoba na Mentor.
Hahahaha! Mi hadi leo naamini Muddy ni The Boss[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…