Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Anaijua value ya mkewe na familia!!!!! Damn you men!! Hapo hiyo value iko wapi kwa mfano!!!
 
Tena malaya wa kitaifa na kimataifa, na hapa lazima kuna mafile mengi tu hajayaweka wazi, kaongelea zile classic tu ila lazima there is more than that.
 
Hiyo value unayoput ahead ni ipi sasa kwamfano!!!
 
Nimeisoma,huyo MOTP hovyo kweli, hiyo gia yake eti ngoja nimpe nione mwisho wake!! Anavyojisifia kumpenda mkewe sasa!! His definition of love kwakweli sio ya sayari hii.
unadhani huwa hawapendi wake zao basi wa nawapenda kiama ila basi tu umaaluni wa kiumeni
 
Mme anaejali familia yake, kumjali na kumpenda mkewe ata cheat?
Ndio hapo tusaidiane kushangaa!! Tena anakitembeza hatari, alisharisk kwa kutembea na muathirika tena kwa kujua ameathirika kizembe tu, hivi huyu unamuweka kundi gani!!!
Hawa ndio wale wanajua mke anahitaji kula na kulala vizuri na kudrive gari zuri basi amemaliza, watoto wao wale vizuri,wasome pazuri mengine atafanyia through phone basi!! Basi hapo anajiona boonge na mume na baba, kumbe hovyo kabisa.
 
Tena anajisifu ni mume bora na anahudumia familia vizur yaan wanaume wa hivi ndo wakuwaombea tezi dume lisilotibika mfyuuu zao
 
Mme anaejali familia yake, kumjali na kumpenda mkewe ata cheat?

Kumbe ishu ni kucheat? Kwahiyo bora mwanaume asicheat lkn akiwa hahudumii familia vizuri, Hana time na wewe na watoto ni sawa as long as he doesn't cheat?

What are your priorities ladies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…