Hakuna ubora hapo. Ukishakuwa mume au mke lazima utambue mipaka yako.Kumbe ishu ni kucheat? Kwahiyo bora mwanaume asicheat lkn akiwa hahudumii familia vizuri, Hana time na wewe na watoto ni sawa as long as he doesn't cheat?
What are your priorities ladies?
Akuuuu!! Kajididimiza mwenyewe kwa umalaya wake.Hahahahaha AiSee yaani wewe ndio umemdidimizia kabsaa kwenye tope la umalaya sugu
Kuna vishawishi vingine ukiviacha unaandikiwa dhambi kwa kua hujatenda haki,sometimes unachange ladha mara moja mojaMme anaejali familia yake, kumjali na kumpenda mkewe ata cheat?
[emoji2] [emoji2] mkuu me niko team roho mbayahiyo ni roho mbaya....
Ubarikiwe sana mtumishiHapa kuna dalili ya kuambiwa Snowden amechikichia na file lililobaki....huyu MOTP kwanza malaya tu, ulokole zamani. Sasa mtu gani hapitwi na walimbwende? Mwanzoni anavinga ooooh my wife sijui my kids mwishoni anatafuna kondoo.
Siko team roho mbaya ila naunga mkono maombi ya advanced busha accompanied with tezi dume
Hapana kwa kweliMme anaejali familia yake, kumjali na kumpenda mkewe ata cheat?
In that case kumpelekea mkeo magonjwa ni kumvalue pia; God forbidNdio hapo tusaidiane kushangaa!! Tena anakitembeza hatari, alisharisk kwa kutembea na muathirika tena kwa kujua ameathirika kizembe tu, hivi huyu unamuweka kundi gani!!!
Hawa ndio wale wanajua mke anahitaji kula na kulala vizuri na kudrive gari zuri basi amemaliza, watoto wao wale vizuri,wasome pazuri mengine atafanyia through phone basi!! Basi hapo anajiona boonge na mume na baba, kumbe hovyo kabisa.
Haha afu wanahisigi wanawake tunazaliwa tu faithful naturally, kumbeeeeNature gani mwaongelea? Mmekuwa wanyama nyie? Si binadamu tulitofautishwa na wanyama jakani.
So it's ok mume kucheat as long as anaihudumia familia yake? Kwani Haiwezekani mtu kubaki faithful kwa mkewe na kuihudumia familia yake vizuri?Kumbe ishu ni kucheat? Kwahiyo bora mwanaume asicheat lkn akiwa hahudumii familia vizuri, Hana time na wewe na watoto ni sawa as long as he doesn't cheat?
What are your priorities ladies?
God forbid haswaaa!In that case kumpelekea mkeo magonjwa ni kumvalue pia; God forbid
We ndio MOTP????JAMANI EEE
Nyie wanawake mnaungana huko team roho mbaya mnapretend to be holier than the pope himself!
Subirini siku Mercy nae akiamua kumwaga mafaili yake, mtapoteanaaaaa
You guys are not saints hahaaaaa!
---team MOTP---
Voluntary confession..I like itBy nature wanaume ni polygamist hilo halina mjadala,tusidanganyane na kupeana mahope wanaume tunacheat vibaya mno hata huyo ulie nae si mwamifu,tunachokifanya ni kuwapa heshima yenu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakuona Nakuona MOTP in joti voiceJAMANI EEE
Nyie wanawake mnaungana huko team roho mbaya mnapretend to be holier than the pope himself!
Subirini siku Mercy nae akiamua kumwaga mafaili yake, mtapoteanaaaaa
You guys are not saints hahaaaaa!
---team MOTP---
Haya mkuuJamani nawaletea story japo kwa kuchelewaaa. Leo ndo leo
Mbona unatutisha jamaniJamani nawaletea story japo kwa kuchelewaaa. Leo ndo leo
No ma'm!We ndio MOTP????
HereNakuona Nakuona MOTP in joti voice