Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Oooh kumbe!! Basi hiyo ndio safi. Acha na mwenzio akapate kitu roho inapenda, akakunjwe kisawa sawa akirudi mwepesiiii. Hebu muwe na adabu mnaposaidiwa.Mwanaume mara nyingi huwa anatamani tu hata akichepuka lakini bado anampenda mkewe lakini mwanamke akichepuka ujue kapenda mpaka kumoyo na mumewe yuko kwenye figo