Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haha kuna siku nilicheka kuna mmama humu akasema mumewe anajishaua kuchepuka anamuangalia tu. Yeye anasafiri sana anakutana na wakaka wanachomekea na hawana vitambi, aiseeHata mwanaume mmoja anachoshaaaa, tena mwanaume ndio anachosha asikwambie mtu.