Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Ila sio kwa mafaili ya wana jf hayaaaa!!! Hii story ya tatu lkn zoye moto was kuotea mbali usni hapa kila MTU akifunguka shtani atainekana malaika mana amezidiwa exprience.
 
Nshanunua bundle la kutosha nasubiria kwa hamu storh toka kwa kubwaa la maadui @Lara1
 
Basi mkaamini kabisaa man of the people nikaombwa namba nikatoa! Thubutuuuuuuuuuuuu! Navosema mimi umalaya niliofanya zote penalty naomba mnieleweee. Haijawahi tokea mimi kwa akili zangu timamu nikamtongoza au kujitongozesha kwa demu. Yanaanzaga mbali mpaka mpira unakuwa wa Penalty! Mimi tu na kipa, nakuwa sina budi kutumbukiza goli kimiani.

Ule umalaya wa kusema nimekusudia kwa makusudi kabisaa kutafuta mchepuko, nimcheat mke wangu kipenziii sinagaaa na wala sijawahi kuwa nao. Hata akitaniaa wewe huchepuki kweli namkumbusha wewe mwenyewe unakumbuka jasho lilivokutoka kunipata Mercy, mimi sio wa kuchepukaaa. Kumbuka tulivopatana, jasho la chupi lilikutokaaaa. Sasa unafikiri wanawake wote wana uroho wa dudu kama wewe. Ananunaaa! Man of the people sipendagi matani yako.

Huyu dada bwana alinifataa akaniomba namba, kaka asantee kwa soda, naomba namba yako, nikamwambia dada sodaaa tu hiooo, usikose amaniii. Akasema napenda tu kukufahamuuu. Unafanya kazi wapi? Nikamwambia its okay, asijipe tabuuu. Ni soda tu. Kupewa papuchiii sababu ya soda sio style yangu. Na wasi wasi wangu she was throwing herself to me so much, until it made me unconfortable kwamba hii inaweza kuwa mboga hii. Nikamkazia paleee, sikumwambia nafanya wapi wala naitwa nani. Ila nikawa namsemesha mambo tu hapa na pale sisi wote binadamu, huwezi kumkazia binadamu mwenzio sanaaa.

Mimi sio mrahisi kunipataaa! Ooooh! Sio maji mara mojaaa. Mwanamke kunipata afanye kazi ya ziadaaa, na ziada yenyewe kubwa. Nasisitiza kazi zote nazofanya ni penalty tu. Mipira yote ya goal kick, kona, mipira ya adhabu, mipira ya kurushwa naikwepaaa sawa sawiaaa. Hizi penalty hiziii ndo inabidi uwe hanisiii kuweza kuzikwepaaa, inakuwa haina jinsiii kabisaaa , haina namnaaa.

Nikaondoka zangu, nilimuaga bibie mi nasepaaa, nice meeting you, namba sijatoa wala nini. Kubwa la maadui man of the people. Nimefika njianii kanifataaa nyuma nyuma na mifukooo. Anasota mifuko mizitooo anakimbizaa buzi, wanawake mjiongezeee. Wanaume hatupatikani kirahisiiii.

Akanifikia, ananiuliza unaenda wapi? Kuna gari inakuja kunifata wanipe lift mpaka napoishiii. Heheheeee! Mbinu ya kizamani sanaaa. Kama huku sio kuku kuingia bandani kujichukilia bisuuu, kujisomea kismo, na kujichinja kisha kujitumbukiza kwenye maji moto, kujinyonyoa na kuwasha gas, kujitumbukiza kwenye sufuria na kujibania ndani na mfuniko ni nini sasa? Nauliza @Epsy una swaliiiii? Kuna mtu ana swali.

Nikamwambia leta mifuko nikusaidie maana kazii ya kunlikimbiza buzi hili uwe umekula umeshibaaaa. Kwanza kuniuliza haya maswali nikawa na uhakika hanijuiii wala hatufahamianiii. Nikawa nishapanga kumkataaa. Sema mimi sipendi kumnyanyasa mwanamke, hata nikiona mwanamke ananyanyaswa naingilia kati. Nikambebea mifuko, ananifata nyuma nyumaaa, moyoni nasema nitakufurahishaaa.

Tukafika parking, anajisemesha huyo mtu bado hajafikaaa. Mi nimebeba mifuko niko mbeleee, hana budi kunifataa, akaona BMW matataaa sanaaa inafunga brakemiguu ni mwetu. Plate number za Diplomats. Dereva professional kavaa gloves kabisaa sheuffer aaja kutufungulia milango. Professionalism at its best ndo mambo yetu sisi watu wa kimataifa. Nikawa namuangalia mshutuko wakee, kidogo ameze nzi, moyoni nasema kama unadanga leo utahisi umepata buzi la mibuziii, babu la buuuu. Hahahahaa! Nikaingiza mifuko, na kumwambia ingiaa bibie twende na safariii.

Akaingia anashangaaa, na mimi nikaamua kumuektiaaa tu, nakunja nne ile ki ban ki moon kabisaa, nakaa narelax, najiamini gariii yanguuu, Boss la ma boss. Basi maneno yanamtokaa non stop. Dreva ahajatoa gari. Nikamuuliza tukupeleke wapi bibie? Akahakikisha anatuelekeza mapa nyumbani anapoishi ili niijue location kiufasaha just incase nikimhitaji nipajue pa kumpataaa.

Akagoma kushuka mpaka nimwambie nafanya kazi wapi, nikamwambia mimi nipo ofisi za EAC, ilibidi cause dereva alikuwa ananisikiliza ningedanganya angenishushaaa sanaaa. Akasema ofisi au unafanya EAC. Nikamwambia whatever. Namba sikutoaaa. Mimi mume wa mtu najiheshimuuu jamanii ndugu wasomajiii.Akaanza kutaja staff wa EAC, mapaka Boss wangu akamtajaaa. Mmmmmh! Nikasema salaleleeeeeeeeeeee! Hiii ya leo mbwa kala mbwaaa! Nikachekaaa tu, nilishindwa kujizuiaaa.

Akakomaa namba, nikaona anatuchelewesha nikamwambia nipe yako nitakutafuta, kaitaja mara 3 kuhakikisha naipata sawa sawiaaa. Moyoni najisema orevwaaaaaaaaaa! Bye madam. Kama utaniona sio mimi. Nikaendelea na mishe zangu zingine na nikamsahau kabisaaa kabisaa sipendagi vya kunyonga mimi.

Nikawazaaaa niaksema yule dada hana akili, ataenda kuniuliza kwa watu wa ofisini, nilimuona kwenye site mirror anasoma plate number, na it will be odd, mimi mume wa mtu kuuliziwa na mwanamke nitaonekana hanisiii kabisaaa. Nimeshindwa kutoa namba mpaka natongozwaaa ndo nini. Umri huu dume zimaaa napelelzwa pelezwaaa itakuwaje sasa.
Hapa ishakuwa penalty hiii . Na sheria ya penalty lazima ipigwee hata ikipaa juu, ikitoka nje, au ikufungwaa lazima ipigweee ndo mpira uendeleee.

Nikamtext mda wa saa 4, baadae tumezoeana akaja kusema alikuwa anaisubiri kwa hamuuu kubwa hi text, anaenda mpaka chooni na simu just incase nikipiga. Basi ndo kukaba na mmaswali double double kama aaenda raceee. Mi namchekiii tu. Unaishi wapi? Pale EAC ni nani? Cause nikitaka kujua nitajuaa bora uniambie mwenyewe. Kama nilivowaambia ishakuwa penalty hii nikawa namjibu.

Kuhusu kuishi wapi, nikamwambia mimi maisha yangu huku Nairobi ni weekedays tu, Ijamaa napanda boti naenda nyumbani Daresalaam. Akauliza Dar unaishi wapi, nikamwambiaa, ndo kuuliza sasa THE MILLION DOLLAR QUESTION UNAISHI NA WAZAZI???????? Jibu lili mrestisha in peace.

I AM LIVING WITH MY WIFE AND CHILDREN. I AM MARRIED. Daaaaah! Anasema hilo jibu lilimkataaa maini, utumbo, nyongo ikapasukiaa natumbo la kuhara alilipata. Hili jibu litamuuma mapaka siku ya mwishooo kabisaa. Ni kama alionja ufalme ukakatishwa. It has only been half a day, and she was concidering my last name for herself. Hahahaaa! MBA mimi sijifichagii kabisaaa.

Ila akokomaa hivo hivo. Akaomba kesho nikitoka kazini tutoke ananitoa yeye out. Nikamwambia mama mi nina watoto wadogo, naogopa kutatuliwa marindaaaa ndugu yangu. Akanihakikishia hana mtu kabisaa. Kitu kwa umri wake wa mid 30s sikukitarajiaaa kabisaaa. Kazini sijui skype yangu aliitoa wapi, siku nzima anani skype. Na akaniambia kumbe nae boss tu wa hotel kubwaa hapa Nairobi. Kasomaa sana nje, civilised just the way i like them.

Jioni ktoka ane nikawa na mashakaa sanaa, sijui kwanini na sio kawaidaa yangu kabisaaa. Ila nikakaza roho. Nikamtumishia gari imfate huko ofisini kwao, ikamfataaa. Tukaenda sehemu tulivuu kufahamiana zaidiii. Nilivokaa nae she surpassed my expectation. She was actually veru bright. Perharps brighter than kazi zangu za zazamani. Ile desparation yake ndo ilimponza ila halijaaribika jambo yupo na MOTP. Tukaagana vizuriii. Like i sad i am not cheap, sigawi dudu ovyo ovyo.

Baada ya kuachana nae, nikakutafuta Lara 1, the reason was mainly ulijifanya umeokoka Janauary. I jut needed 1 person, just 1 person to talk me out of this deal. And i thought you fitted the job. Just 1 person alitosha kunibadili mawazo. Nikaja kukuliza tu kuna mtu huyu unamjuaaa, ukasema humjuii. Nikakwambia unavoona should i do her or not?

Ulivokosa haya we mwanamke wala utu mwanamke wako wa humu ni unafiki mkubwa sanaa, ukasema DO HER. Na tena hapo mwanamke unatoa ushauri kama huo, je ungekuwa mwanaume wewe si ingekuwa balaa. I took your advice. Tushatoka date kama 3 hivi namkaziaaaa. Hamna busu wala nini. I usually take my time to find my appetite.

Akaomba date ingine nikakazaa, bado sina uhakika MOTP. Anangnangania amekaa miaka mi 3 hana mtu sijuii nini, utadhani hajui kama nina mke na watoto. Swala la miaka mi 3 hana mtu lilinitamanisha sanaaa, mnoo mnoo, nikawza huo utando uko chiniii si wa kupitwa mjue, kutakuwa kumebanaa hatariii, miaka mi 3 sio mchezooo. Nikaingiwa moyo wa huruma ndugu msomajii, A sister was in need. And i could be of service.

Weekend hi wote tukawa Dar, alikuja training mi nimekuja kwa wife. Najiiba ibaa kumpa hospitality kila siku namfata training na kumpeleka hotel, tunazururaa, mpaka tukarudi Nairobiii. Utando tu wa miaka mi 3 unanitoaa rohooo. Hahahahaaa! Penalty hiziii. Tukarudi Nairobi wote.

Kufika akasema ana njaa, tukaweke mabegi kwangu tule kwanza. Kuku anaingia bandani huyooo, ngombe kaongoza machinjioni. Nikatiii sheria bila shurtii. Tumetoka kulaa akasema kachoka anajinyoosha kidogooo. Nikasema tawireee. Nikaondoka kukwepa mambo yangu ya siku zote. Saa 4 usiku nikarudii kumwambia mama mda huu twende. Nikampeleka kwake, nikaingia kwa mara ya kwanza, na sikutaka story sanaa, nikaaga.

Kesho mvuaaaa ya text na simu, skype ndo usisemeee. Jioni akataka kuja kuangalia movie nikamgomeaaa. Akasema swa nikataze kuja kwakooo. Nikasema basi njoo, maana alinikamata liveee. Ile kuzuga nikawa sina jinsiii. Akaja namhadaatwende tukale, najijuaaa mimi udhaifuu wangu, akagomaa ohh mi nimeshiba, nataka movies tu. Na subwooofer langu lilee lilimchanganya msabato. Nikamuwekeaa Escape from Sobibor kumkomoaaa tu. Akaomba nimbadilishie nikaweka Letters from Hirojima, kumtoa moods tu. Akaomba nimbadilishie nikaweka Apocalypse Now. Akaamua kukaa kimya tu. Akajifanyaa kasinziaaa. Sio kwa movies zileee.

Nikamuwekea kidole sikioni kumtania tu, akarukaa, oooh i amvery sensitiveee. Nyege za maiaka mi 3 ndugu msomaji sio za nchi hii. Nikashuka kufungua vifungooo vya blousee. Yupo oooooh God! Lord! Mzee mzima najilamba tu. Akaivua mwenyewe na surualiii. Nikaanza shughuli yangu pevu ya kifuaniii, nilitumia mda mrefu sanaaa, kuja kitovuniii hata sijatumia mda, nasikiaa oooh lord stopppppppppppp! Nikawaza haya ndo yale bia zangu umekunywaaa, nauli umechukuaaa, chumba nimelipiaa afu anauliza UNATAKA KUNIFANYA NINI?

Nikakunja sura kabisaaa, kungojea atachosemaaa, moyoni nasema utatoa we mtu mzima hutoiiiiiiinijue mojaa. Akasema i am ready, cant you see i am ready! Nikashangaaa, ila moyoni nikasema huu utando siuahi ngooo. Nikapima oil kwanza nijue hali ya huko ikoje na kama antenna ipo au haipoooo. Nikakuta hali shwariiii. Nikatelezaaaaa. Ila nilitumia condom siku hii. Na mambo yalikuwa matamuuu sanaaa. Japo huyu mwanamke mvivuu afu kama mshamba wa mapenzi kwa umri ule sikuelewa elewaaa. Jitu zima miaka 35 linakuwa geni kwenye 6*6 sikuelewaaa.

Nikajua tu kuna kitu huyu unafichaaaa. Kuna kitu anafichaaa. AU MKE WA MTU HUYU??????? Kwa ugoi goi ule lazima atakuwa aliolewa mapema hakupata mda wa ku practise, kama mmewe hayupo ulaya sijuiiii. Ndo ila kaend aulaya 5 years mwaka wa 3 hamu imemzidiii. Ila nimekula mtu mzima mwenzenuuu. Na nishapitisha uamuzi niendelee kula kula mpaka nijue anafichanini.

ITAENDELEA KESHO
 
Hahahahaa! Mnitueeeeeeee! Ndo yale mambo yenu, "WASHKAJI NIPO GETO NA DEMU, NISHAMVUA NGUO, NA MIMI NIMEVUA, NAOMBENI USHAURIII, NIMFANYE NINI? MMI NASHAURI CHUKUA KITANA HIKO MCHANE VUZI HIZO AKIRIDHIKA MBANE KIMCHICHA
Mamaeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaa! Mnitueeeeeeee! Ndo yale mambo yenu, "WASHKAJI NIPO GETO NA DEMU, NISHAMVUA NGUO, NA MIMI NIMEVUA, NAOMBENI USHAURIII, NIMFANYE NINI? MMI NASHAURI CHUKUA KITANA HIKO MCHANE VUZI HIZO AKIRIDHIKA MBANE KIMCHICHA
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
JAMANI EEE

Nyie wanawake mnaungana huko team roho mbaya mnapretend to be holier than the pope himself!
Subirini siku Mercy nae akiamua kumwaga mafaili yake, mtapoteanaaaaa

You guys are not saints hahaaaaa!

---team MOTP---
...all the way!
 
Back
Top Bottom