Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Tena anajiita mume na baba bora.Wanawake shughuli tunayo.
Eti ndio mume huyu mbona balaa bin mikosi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena anajiita mume na baba bora.Wanawake shughuli tunayo.
Eti ndio mume huyu mbona balaa bin mikosi.
Hata wewe shangazi umeona eeeh!! Hii namba hapana. Its about time sasa lile gonjwa la ajabu ajabu litakalomuhusu yeye tu lihusike.huyu jamaa hapna jamani
Mshenzyyyyyy mwili mzima.MOTP katika ubora wake..mfyuuu zake 40 zake zinakuja manake sio kwa misifa hiyo[emoji20][emoji20][emoji20]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wacha bwana!
Nataka wajuvi, vijana wabichiiii nyie wazee mtanizeesha tu niambulie patupu.Sawa....karibu nikufunze....
Mume wa mtu au mume wa mataifa!!Hizo ndo gear zake anaanza ooh me mume wa mtu,mara mipira ya kurushwa sitaki mara ooh hii penalt ningefanyaje msomaji,mwisho wa siku anakula kama kawaida yake mfyuu zake
Mimi sio kati ya hao wazee....Nataka wajuvi, vijana wabichiiii nyie wazee mtanizeesha tu niambulie patupu.
Nitafurahii kama anapasha, maana alivyojituliza sio bure kuna mahali nae katulizwa ameamua amuache tu mume wao asarande tu.Duh ila natamani kujua kama Mercy alimuacha Mzava kimoja au bado wanapasha kiporo
Akuuuu!!Mimi sio kati ya hao wazee....
Shauri yako!
Poteza bahati...Akuuuu!!
Hiyo sio bahati, kwaheri.Poteza bahati...
KaribuHiyo sio bahati, kwaheri.
ila huyu Mercy atakuja tu kummumiza huyu MOTP...,
alishacheat wakati alikuwa kama vile kafaaaaa....., aliweza kumhama mtu aliyemtambulisha mpaka kwao kwa ajili ya MOTP.., muda wote huu MOTP wetu akihangaika mara Nairobi mara kupasha viporo huku antenalesini, lazima care imepungua kwa bibie Mercy.
Mercy hawezi kuwa kakikalisha tuuu...,
Lara epusha please
mwizi akiibiwa inaumaga kishenzi, afu pia kuna watu humu watafurahi kishenzi..., wanaweza hata kupika pilau huko walipo.Hahahaaa! Sasa naepushaje jamaniii.
lara 1 do the needfull plz, mpe mercy bonge la mchepuko.ila huyu Mercy atakuja tu kummumiza huyu MOTP...,
alishacheat wakati alikuwa kama vile kafaaaaa....., aliweza kumhama mtu aliyemtambulisha mpaka kwao kwa ajili ya MOTP.., muda wote huu MOTP wetu akihangaika mara Nairobi mara kupasha viporo huku antenalesini, lazima care imepungua kwa bibie Mercy.
Mercy hawezi kuwa kakikalisha tuuu...,
Lara epusha please
Lara anavyopenda pesa, yaani MOTP alishamroga kabisaaa, utashangaa walaa hamkaangi, anapata tu the happy ending. Yaani lara usitutanie lasivyo mimi nitaimalizia story haki tena.mwizi akiibiwa inaumaga kishenzi, afu pia kuna watu humu watafurahi kishenzi..., wanaweza hata kupika pilau huko walipo.
tuliendie heshima ya mwakilishi wetu the one and only MOTP
hahahaha Lara1 kuwa makini kuna wafilisti wanataka kutupa story feki.Lara anavyopenda pesa, yaani MOTP alishamroga kabisaaa, utashangaa walaa hamkaangi, anapata tu the happy ending. Yaani lara usitutanie lasivyo mimi nitaimalizia story haki yena.