Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Lara kuna story yangu nitakupa ifuate baada ya hii..., yani kwenye ile wanawake ni washindi mwanzo mwenga...,


so akina espy, heaven sent na wengineo kwenye hii kunyweni maji, mtashinda kwenye movie inayofuata siyo hii.., sawaee


##KanyagaTwende
##KandamizaTeamRohoMbaya
Mmmmmh!!!
 
Hahahahaa! Mnitueeeeeeee! Ndo yale mambo yenu, "WASHKAJI NIPO GETO NA DEMU, NISHAMVUA NGUO, NA MIMI NIMEVUA, NAOMBENI USHAURIII, NIMFANYE NINI? MMI NASHAURI CHUKUA KITANA HIKO MCHANE VUZI HIZO AKIRIDHIKA MBANE KIMCHICHA
Damn lara
 
Katika story zote, hakuna ambayo naikubali hadi leo kama YANGA(Naipenda Yanga) maisha ya uswazi, full vibweka. Nishairudia zaidi ya mara 5 hadi now.

lara 1 hebu fanya utuletee story nyingine ya uswazi asee, tucheke tena. Unawapendelea sana watoto wa kishua wangu.
Aisee ungetupia na link ya YANGA (Naipenda Yanga) ingependeza sana.
 
Back
Top Bottom