Oooh kumbe!! Basi hiyo ndio safi. Acha na mwenzio akapate kitu roho inapenda, akakunjwe kisawa sawa akirudi mwepesiiii. Hebu muwe na adabu mnaposaidiwa.Mwanaume mara nyingi huwa anatamani tu hata akichepuka lakini bado anampenda mkewe lakini mwanamke akichepuka ujue kapenda mpaka kumoyo na mumewe yuko kwenye figo
Hahaa ndoa na idumishwe na woteKupigana kunakujaje kwenye kudumisha ndoa!! Watulie tu tuunganishe nguvu katka kudumisha ndoa. Alijisemea jirani yangu Bonny cha msingi mwingine asijue tu.
Kakuzoea au nae kapata anapozimalizia stress zake kwahiyo anaona we uendelee tu usimbane bane.Afu wenyewe walivyo na akili ndogo utakuta kabisa linajisifia "mke wangu ameshanizoea, yani hajali tena hata nikichepuka, ananiangalia tu". Basi unaishia tu kumuonea huruma huyu popompo
Si unajua vile wanawake tulivyo wezi, utalia kila aina ya mlio huku hakuna kitu jamaa anafanya, kumbe unajua hapa baada ya mchezo nina changu cha maana. Basi likitoka hapo linajisifiaaaa, kumbe hata hisia ulivuta za mwingineee.[emoji23] [emoji23] alafu wakija huku wanajisifu wamepiga show ya karne[emoji23] [emoji23]
Kasema ataleta japo kwa kuchelewaNasikia MOTP yuko weekend na Mercy, au ndio kungwi anakarabati mafile imeshafikia sehemu yake?
Kumbe majibu yapo yametuliaaaa! Huwa naishia tu kucheka vile kila mtu mjuaji.Hahaa kumbe wakipita wanachorwa tu walivyo wabovu. Ni mara chache kusikia mwanaume anasema kamess up kwenye mechi, kila mtu anajisifia tu.
Ndio msubiri tukajifunze ujuzi ili tuje tuwabadilishie chakula. Tusiulizane tu maswali jamani.
Yaani acha tu.Hahaa mtaa mzima anatangazwa
Moyoni unasema maliza niondoke[emoji23] [emoji23]Si unajua vile wanawake tulivyo wezi, utalia kila aina ya mlio huku hakuna kitu jamaa anafanya, kumbe unajua haba baada ya mchezo nina changu cha maana. Basi likitoka hapo linajidifiaaaa, kumbe hata hisia ulivuta za mwingineee.
Hakika, ndoa ni ya wawili hivyo tujitahidi tu wote tuidumishe kiroho safi bila kutishana.Hahaa ndoa na idumishwe na wote
Hakika, ndoa ni ya wawili hivyo tujitahidi tu wote tuidumishe kiroho safi bila kutishana.
Hahaa Mungu anawaonaMoyoni unasema maliza niondoke[emoji23] [emoji23]
Kumbe majibu yapo yametuliaaaa! Huwa naishia tu kucheka vile kila mtu mjuaji.
Si unajua vile wanawake tulivyo wezi, utalia kila aina ya mlio huku hakuna kitu jamaa anafanya, kumbe unajua haba baada ya mchezo nina changu cha maana. Basi likitoka hapo linajidifiaaaa, kumbe hata hisia ulivuta za mwingineee.
Aaah wao si wanajitetea kuwa wanachepuka ili kupata maujuzi!! Nasi ndio tunawaambia na wao watulie tu nasi tukajifunze maujuzi.Mh! Kujifunza ujuzi huko viiiiipi? Ulimuunga mkono Mercy alipojitoa kimasomaso na Mzava?
Unatamani hata ulisukumizie mbali ila ndio vile tena huna jinsi. Inabidi tu umpe moyo nae ajione kidume.Moyoni unasema maliza niondoke[emoji23] [emoji23]
Ndio, anatuona kweli maana hasinzii. Tusitihane dota.Hahaa Mungu anawaona
Kama hujui, hujui tu...Ndio msubiri tukajifunze ujuzi ili tuje tuwabadilishie chakula. Tusiulizane tu maswali jamani.
Hapana, nikifunzwa na wajuaji(as we umeshindwa) nitajua tu, then takufurahisha.Kama hujui, hujui tu...
[emoji23] [emoji23] akitoka akajisifu mtaaniUnatamani hata ulisukumizie mbali ila ndio vile tena huna jinsi. Inabidi tu umpe moyo nae ajione kidume.
Ndio hivyo, utasikia "yaani leo kalia milio yoote" kumbe angejua!!![emoji23] [emoji23] akitoka akajisifu mtaani
Nievuta hisia za msiba wa bibi mzaa babu [emoji2] [emoji2]Ndio hivyo, utasikia "yaani leo kalia milio yoote" kumbe angejua!!!
Sasa ngumi za nini na nyote mnaboresha ndoa?ubabe mwingine hauna maana