Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Excuse us. Wewe mwanaume mwenye commitment nije nikulindie commitment yako mimi mchepuko???? Tulia na mkeo huko bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway, subiri uone kesi itakavyoisha kilaini.
Guilt consciousness ya mercy kwa mzava ndo itakua weakness yake!
 
ole wako lara akatishe story yetu kwa ajili yako....

lara leta manenoooo......

kama mercy kaondoka mwenyewe si ndo maombi ya mtu yamejibiwaaaa

kanyaga twende
Haha hawezi kukatisha bana. Afu Mercy atarudi tu, mbwembwe za nyumba kubwa utaziweza. Ila atarudi afu atakaza, Naima ajiandae
 
Heaven Sent don't take this story serious, kuonyesha kabisa hii ni story tu si unaona ni kama MOTP mwenyewe anaongea kwenye story wakti unajua kabisa ni Lara1.

maisha yako hivo tu, huo ndo uhalisia wa maisha ya hapa duniani. don't get upset mpendwa sawaaa...,

have blessed sunday dear
Sasa mbona unajipinga mwenyewe, mara ni story mara maisha ndivyo yalivyo!! Amepanik maana thats how it is, yaani ndio real life la kitaa, sasa bora hata umpate mwenye mapesa yake hata pesa zikufariji kidogo, unakutana na kapuku bin lofa nalo busyyyyy na michepuko eti!!!
 
Haha hawezi kukatisha bana. Afu Mercy atarudi tu, mbwembwe za nyumba kubwa utaziweza. Ila atarudi afu atakaza, Naima ajiandae
unadhan antenelese ndo hakuwa na nafsi? Mercy naye zamu ndo ishafika fika. ... kwa upanga ...... kwa upanga
 
Sasa mbona unajipinga mwenyewe, mara ni story mara maisha ndivyo yalivyo!! Amepanik maana thats how it is, yaani ndio real life la kitaa, sasa bora hata umpate mwenye mapesa yake hata pesa zikufariji kidogo, unakutana na kapuku bin lofa nalo busyyyyy na michepuko eti!!!
hahahaha sikujua kama mama yake Heaven Sent upo karibu...

mi hataaaa sijajipinga, maisha ndo yalivyo, ila mkanye mwanao asimgombeze MOTP ambaye hata ha_exist.
 
Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!

Mtu anaambia MOTP kaoa, bado anang'ang'ania, mnataka afanyeje?

It's your own fault ladies!

You should love each other na mlindiane. Hapa ndipo wanaume tunapowazidia!
Mnapotuzidia as if hakuna wanaume wanaotembea na wake za watu!!!! Camoooooon MOTP FCOL!!!!
 
Muulize mkewe wa kwanza kama tupo au hatupoo afu muulize na Ex mchepuko Mercy
Man of the people mwenyewe anaadmit anachepuka but kwa mke wake mapenzi teleee..mercy ameondoka anahaha vibaya mnooo..niambie ktk michepuko yake yoootee yupi aliachana nae akapata jamba jamba
 
Unatania aisee, naamini haupo serious. Kama alikuwa mwema si angemwambia MOTP kuwa sioni future kwahiyo nina mtu anataka anioe? Kwanini she came clean after she has been caught? That's cheating hakuna justification yoyote hapo
Hivi mume wa mtu unamcheat vipi kwa mfano!!! Hapo hakuna cheating bwana.
 
hahahaha sikujua kama mama yake Heaven Sent upo karibu...

mi hataaaa sijajipinga, maisha ndo yalivyo, ila mkanye mwanao asimgombeze MOTP ambaye hata ha_exist.
Haha you guys em have a sense of humour bana. Mnahisi kama nimemaindiiii daah, kumbe nachat huku miguu juu. Hayo ni mawazo yangu tu kwenye kuchepuka na hayajawahi kubadilika , so nichukulieni tu poa
 
hakuna namna acha tuwe team roho mbaya tu si kwa madudu hayo halaf anakuja kujitetea ujinga bla bla nyingiiii kutegwa my foot kwani ukikataa watakubaka
Ndio hapo sasa, eti anatafuta na public sympathy kabisaaaa na kuwasingizia wanawake!!? Seriously!! Na hakuna popote alipobakwa wala kushikiwa bunduki. Mfyuuu zake na nusu.
 
Back
Top Bottom